Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Unajua mdogo wangu labda nirudie tena, mnashindwa mtihani siyo kwa kuwa hamna akili bali ni kwa kujibu maswali ambayo hamkuyaelewa. Nimetumia analogy ya mwanafunzi kuelezea yalotokea, kwani MULLINDA ni mwanafunzi? Elewa maelezo mkuu kumbuka kuwa we live in the world of similies ana similarities so we have got to be careful before we comment!!!!naona kiswahili siku hizi kimekuwa kigumu kweli kukielewa, toka lini kusimamishwa kukawa na effect sawa na kujitoa? ingekuwa baraza au jukwaa la wahariri wame mfukuza uanachama halafu yeye akaleta hadithi ya kujitoa, ungeeleweka.