Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,217
Kama angechukua magonjwa yote kwa jinsi unavyodai, tusingekuwa na msamiati 'ugonjwa' maana tusingeyakuta wala kuyajua.Kwa kupigwa kwake sisi tumepona, yeye aliyachukua magonjwa yetu. Kwa mungu wa Ibrahim, Isack, na yakobo hakuna ukimw
Halafu alipigwa kwa sababu ipi?