Chanzo cha mali ya hekima: Majina ya Barahatiyah na faida zake

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,997
4,531
Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu,

talasimu.jpg
Photo by Rakims on Rakimspiritual.com
na Mwenyezi Mungu utabaki kumtegemea katika msaada wa kukujalia kufika mwisho mwema na kukutia baraka na kufanya ibada zako zote za kila siku.

Mengine yote kwako yatakuwa rahisi na utakuwa na uwezo mkubwa wa kusaidia wengine wanaokuzunguka na kufanikisha mengi ambayo hapo mwanzo hukuweza kuamini kama utakuja kuyafanikisha.

Bila kuandika maelezo mengi niende moja kwa moja kwenye makala husika:

Wanafunzi wangu,

Hapa nitawafundisha kitu ambacho huenda mmewahi kusikia au kuhisi uwepo wake yaani nguvu ya neno au nguvu ya tamko maarufu kama neno liliumba nalo tutakalo zungumzia hapa ni neno la Allah/Jehova/Mungu/Alpha/Omega/Elohim/Bwana.

MWANZO:

Kwanza kabisa nitawarejesha kwenye maana ya neno ninalo maanisha hapa;

Neno husika ni Jina au Majina na Majina hayo ni ya mwenyewe Mwenyezi Mungu ambapo yoyote yule mwenye kuamini kuumbwa nae basi anaweza kutumia maneno au majina haya katika kila jambo analotaka ikiwa ni jambo la kheri au la shari na mwisho wake mwenye hukumu yake ni mwenyezi Mungu ambaye hapana shaka majina haya ni majina yaliyojaribiwa na ni Siri katika siri kuu za kale katika dunia hii ambayo zimejificha.

Mfano mzuri watanzania kwa sasa mpo 63,792,910 ilivyopigiwa hesabu kitu ambacho hadi sasa hivi hiyo namba huenda imeongezeka pia hivyo hata mwenye kuweza kusoma makala hii sio watu wote hao watasoma na huenda wengine wakatamani iwafikie lakini hawakuweza kukadiriwa kuipata elimu hii sasa wewe unaeipata basi usiifanyie mchezo hiki ninachofundisha hapa ni siri kuu sana ambayo hufundishwa watu wenye hekima na si wajinga na moja kati ya sehemu matarajio yangu hukaa watu wenye kujielewa ni katika forum hii.

Hivyo ieleweke pia hii sio makala ya watoto wa facebook au tiktok ambao heshima zao ni mbovu katika uchangiaji au fikra zao potofu.

Tuendelee na makala husika;

Kwa kuanza:

Mimi kama Rakims niseme sifa zote ni za Mwenyezi Mungu mola wa ulimwengu tunaoufahamu na tusioufahamu hapa kwa sifa hii ninayomsifu mwenyezi Mungu ni nje ya boksi ya uelewa wako sizungumzii Mungu mwenye wingi wa miungu nazungumzia Mungu yule unaemtambua kama Mungu ambae aliumba kila kitu unachofikiria na ambacho hakipo kwenye fikra yako. Naanza hivi kwa kukukumbusha kuwa wacha Mungu watapata ushindi mwishoni na mchamungu sio yule mwenye kukesha msikitini au makanisani kwa kuonekana na watu sote tunaweza kuwa na uelewa wachamungu ni watu gani.

Kwanza niwatakie mafanikio mema katika elimu hii adhimu enyi wenye kupenda kujifunza au wenye kutaka kujifunza zaidi Mwenyezi Mungu awajalie nyie ikiwa pamoja na mimi kwa maana utajo au majina haya nitakayo wafundisha hapa ni Majina ya Barahatiyah ambayo nitawafundisha moja baada ya lingine ikiwa mtakidhi vigezo jua ya kwamba majina haya tangu enzi na enzi yamekuwa yakijulikana kama:

  • Mkataba wa Kale,
  • Agano Kuu,
  • Siri Iliyolindwa,
  • Hazina iliyohifadhiwa,
  • Kiberiti chekundu

Na majina mengine mengi yaliyokuwa yakisifu utajo huu hadi pale ulipoanza kufichwa fichwa na watu fulani fulani wenye kupenda kuwa wao tu ndio wao na hakuna mwingine mwenye kujua

Hii ilikuwa inatambulika miaka 107 kabla ya kuzaliwa kristo 107BC.

Nayo yalikuwa yakitajwa na wahenga wa zamani kisha baada ya kutokutiliwa mkazo ndio akaja kutumia Mfalme Suleiman (King Solomon) mwana wa Daudi (amani iwe juu yao wote) kisha baada ya hapo yakaja kutamkwa na Asaph ambaye alikuwa ni visier wa Solomon katika utawala wake kwa wale ambao hamfahamu huyu ndio mwanadamu aliyetajwa mwenye elimu aliewazidi majini kwa kumletea kitu cha malkia kwa mfalme Suleiman kabla ya kukapua macho akakiona mbele yake. ambaye huyu bwana mwenye elimu alikuwa ni Mwana wa Barkhiya baada yake akaja kuyafundisha Muhenga mwingine aliyeitwa Klaphitrius;

Kisha huyu bwana nae akawafundisha wanafunzi wake na wanafunzi wake wakawafundisha watu mbali mbali hadi elimu hii adhwiim ikanifikia mimi na mimi nikaamua kuwafundisha wanafunzi wangu hapa.

Ama kwa hakika ni utajo mtakatifu ambao hapana shaka ukitajwa basi hakuna malaika anakataa kuja ukitajwa kwa sahihi na hakuna jini, Ifriti wala shetani au yoyote mbabe katika maswala ya kiroho mwenye kugoma kutii wito huu hayupo tena kwa mashetani na wapingaji wote wa kiroho wito huu ndio sababu uliitwa moto wa kiberiti kwao na majina haya basi utawakuta watu wa imani fulani ya dini huyataja kwa siri kwa kukoleza maombi kwa lugha isioeleweka vile vile ukichanganya majina haya na jina hilo unaloliamini naongea na nyinyi wakina damu ya fulani ndio jibu basi haina shaka hii hii ni sawa na ukweli usiokuwa na shaka na mwenye kukataa na akatae kwa upuuzi wake huu ni utajo mtakatifu ambao hauna shaka kwa imani yoyote ya dini yoyote yenye kuamini Mungu labda kwa zile dini zenye kujichongea sanamu zao wenyewe na kuita Mungu lakini utajo huu ni mtakatifu kwa kila dini na ni muujiza mkubwa sana nakufundisha siri ambayo hutajifunza popote pengine.

Zaidi ya kuliwa hela na kudanganywa

Yeyote mwenye kuujua huu katika familia yake basi familia yake itakuwa na baraka na yeyote mwenye kujifunza haya ni Mwenye baraka pia utazungukwa na baraka na kubariki wengine pia.

Kwa kusamarize hii ni elimu isiyo na shaka na imeshajaribiwa na imetumiwa karne na karne hivyo ukiipata usijaribu bali tumia.

Unaweza kutumia kwa faida zote na baadhi hata robo yake haifiki nitakutajia hapa:

  • Unaweza kuvunja kila aina ya nguvu za giza
  • Unaweza kuitia chochote au yoyote mfalme,watumishi,
  • kuita mtu au watu
  • kuongeza mvuto
  • kuita mapepo kwa watu
  • kufukuzia mapepo
  • kutawala
  • kufunga vikao
  • Kufichua siri
  • Kufichua hazina
  • Ufunuo
  • kupata taarifa za watu
  • Chochote kile mtu unachotamani kiwe kizuri au kibaya basi utakipata tu lakini kwa mabaya mwisho wake sio mzuri basi ukijifunza hili usimfundishe mjinga wala mtu asiyejitambua tukazalisha manabii feki kila siku.
Mfano wake mzuri:

Mfano mzuri nitakao kupa hapa ni pale ambapo mtu atahitaji kuita mtumishi au chochote kile kije kwake kwa mfano kutizama jambo.

Hatua za kufuata:

vaa nguo safi na mkalishe mtu chini mwenye uwezo wa kuona au mtu asiye na imani katika kuamini mambo ya kiroho muweke
washa manukato yoyote ambayo ni safi au puliza manukio mazuri
Muwekee kioo mbele yake au jaza maji kwenye beseni au ndoo
muwekee kichwani kitambaa safi hata cheupe
Hakikisha macho yake hayatazami kwa kukodoa aweke wasitani wa uangalivu
Kisha taja jina la mfalme yoyote au mtumishi au yeyote unaetaka atokee kwenye kioo upande wa hazina au chochote
Ikiwa umeita mfalme na mtumishi wake wa kiroho watatokea hapo na kujibu swali lolote unalouliza hata jackpot za kamari na mengineyo yaliojaa uzuri na shari. Utataja utajo huo wa majina haya kwa idadi ya mara saba tu. nayo haina shaka wala usifanye mdhaha kwa maana atatokea tu unaemtaka hapo hapo
Angalizo:
Ieleweke kuwa hii ni elimu iliyo advanced sana na yenye kutaka hekima sana katika kuitumia vinginevyo utafananishwa na wale wanaotembelea magari meusi yenye vioo vyeusi huku wamefunika roho nyeusi.
Mwenye kuipata elimu hii hata hitaji tena elimu nyingine ya kiroho.
Hivyo hii ni hazina kubwa na mwenye kuwa nayo hatahitaji nyingine yeyote.

NI NINI HII ELIMU?

Haya ni majina 28 ya BARAHATIYAH ambayo yeyote mwenye kujifunza utajo wake ambao ni wa sahihi basi ni mwenye kufanikiwa sana katika maisha yake ya kila siku

Nazo 28 ni namba ya kila siku katika miezi kwa ulimwengu wa kiarabu yaani ni mizani ya utembezi wa mwezi na inaaminika humo ndio unakuwepo mwenye ukitembea kwenye hizo siku hizi 30 na 31 ni za nyongeza tu ya wapotoshaji kama vile wanavyokudanganya kwamba saa 2 ni saa nane mchana.

Hapa nitakufundisha majina mawili tu na kazi zake lakini ukitaka mengine na kazi zake pamoja na yote kwa pamoja na kazi zake ikiwemo kuamuru yai litembee kwenda kwenye hazina basi usisite kujiunga na group yetu ya whatsapp kwa kukidhi vigezo na masharti husika.

JINA LA KWANZA:

Ama kwa kuanza na jina la kwanza hata tutaanza na jina hili adhiim la BARHATIYAH ambalo ndio limebeba uhusiano wa majina haya kwa kuitwa jina hili moja.

Barhatiyah ni jina la kwanza katika package hii ya majina matukufu 28 jina hili ni jina lenye uzani wa tif’alih, na inajumuisha Ba ambayo itakuja kuhusishwa na kasra kwa wataalimu wa lugha hii ni rahisi kuelewa nafundisha usahihi wa kutamka neno hili usikopi tu kama nilivyoandika ukataja utakosea kisha utaongeza ii unapokuwa unataja ikiwa ina RA isiyo ya kutaja kwa kukamilisha yaaani rrrrr sio raaaa okay? kisha baada ya hapo utakaza fat’ha itakuwa yenye sauti ya ra ambayo sio ya kuunganisha yaani utataja rrrrrrr kisha a ya kukata kwenye bara yaani ile a inakuwa mwisho kabisa kama pumzi na ta lazima iwe na kasra ya juu yaani mwisho wake iishiwe na Ya ambayo ipo kwenye koo haipo mdomoni.

na utaimeza hiyo herufi ya mwisho yaani kama umetaja au hujataja watu wa meditation kwa upande wa humming and buzzing sound mtakuwa mmeelewa namaanisha nini na herufi zingine unataka kawaida tu.

Mpangilio wa herufi hizi maana yake hii ni Al-Sharatain.

Kiarabu humaanisha “”Mtakatifu sana” na kwa lugha nyingine ya kiarabu maana yake ni “Mwenye kutukuzwa zaidi” hivyo zote hizi ni sifa za mwenyezi Mungu nayo hii ni Lugha ya kipersian wala sio kiarabu au hebrew kama mlivyozoea.

FAIDA NA KAZI ZAKE:

Yeyote mwenye kumaster utajo vema wa jina hili ikiwa ataliandika mara 35 kwa herufi zake katika dish ambayo ni safi au sayani nyeupe ya udongo kisha akalowesha maji kuandika atatumia zafarani kisha akataja kwa idadi hiyo na akampa mwanamke ambaye kapitiliza au kuchelewa kuzaa basi atazaa baada ya muda mfupi.

Na yeyote mwenye ugumu wa maisha akifanya huu kuwa ni utajo wa kila siku kwa jina hili na tafsiri yake kwa kumtukuza mwenyezi Mungu kwa muda wa siku 40 basi mwenyezi Mungu atafungua milango ya mafanikio kwa watu wenye maana katika maisha yake kuja kwake.

Na Yeyote mwenye kuandika katika kiganja chake cha mkono na akalisoma mara saba kisha akamsifu Mungu kwa sifa za jina hili basi moja kwa moja akiwa hajala kitu akalamba kiganja chake atakuwa ni mwenye kumbukumbu kali na hatasahau chochote atakachosikia au kuona.

Zipo faida zake nyingi unaweza kujiunga kwenye group yetu ya whatsapp kama umekidhi vigezo.

JINA LA PILI:

Jina la pili katika utajo huu mtakatifu ni:

Kar”irin, nayo ina mizani ya a’ il..
na vile vile ina uzito wa fat’ha, ikifuatiwa na a
pia vile vile ra’ yenye kasra, ikifuatiwa na ya isio ya kuvuta• pia inaenda na ra’. nayo a=katika utajo wake unavyoishia ni sawa na majini yote yaliyobaki ambayo utajifunza baadae katika group yetu ya majina haya na vigezo nitaviandika chini.
Udhani wa herufi hizi katika mizani ya herufi huingia kwenye al-Butain. Nayo katika lugha ya kiarabu jina hili lina kuwa na maana ya “Mungu wa Vitu vyote” pia kwa mtizamo mwingine wa tafsiri ni “Ewe Mungu/Eee Mungu”

KAZI ZAKE:

Ambapo jina hili pia lina kazi au sifa zifuatazo:

Ikiwa mtu atakuwa na tabia ya kulisema kila siku usiku mara mia moja basi ataweza kuona roho takatifu au majini na pia wanaweza kuwa watumishi wake [ Dhana ya kuhusishwa waislamu na kufuga majini itaingia hapa. Fahamu ya kwamba ukiwa unamtaja mwenyezi Mungu sana kuna roho zitakuwa pamoja nawe roho safi na ukiwa unatenda maovu sana kuna roho chafu zitakufuata tu] hivyo mwenye kutaja jina hili basi atakuwa ni mwenye kufuatwa na roho takatifu au majini na ikiwezekana anaweza kuwaamuru jambo la kheri nao wakafanya bila shaka kama kupatanisha waliogombana, kupata kazi n.k mradi iwe mambo mazuri.

Kama mtu ataandika katika kipande cha karatasi kisha akafungia katika biashara yake basi hata ibiwa wala kukumbwa na chuma ulete.
Na kama mtu anaumwa na macho akiandika kwenye sahani kisha akafuta na maji akanawa siku tatu basi hupona kabisa bila shaka.

Kama mtu ataandika hili la kwanza na la pili katika chakula kisha akampa mtu anaempenda kula basi mapenzi ya mtu huyo yatabaki kwenye moyo wake.
Pia hicho hicho kitatokea kama mtu atasemea kwenye maji kwa idadi yake husika akampa mtu basi mtu yule hapo hapo atampenda

Kama mtu ataandika katika kito cha amber na kumvisha au kuvaa binti au mwanamke ambaye kashindikana kuolewa basi ataolewa ndani ya siku chache

Na kama mtu ataandika kisha amwagie kwenye biashra isiyouzika atauza haraka.

JINA LA TATU:
Jina la tatu katika utajo huu mtakatifu tunaita TATLIH تتلة
Hili ni jina ambalo maana yake katika lugha ya kiarabu ni
"the Most Holy and Omnipotent,"
Yaani
"aliye Mtakatifu na Muweza wa yote"
na according to another view,
"the Most Glorified and Holy";
yaani
Aliyetukuka na Mtakatifu
and according to another view,
"the Omniscient";
yaani
"Mjuzi wa yote"
and according to another view,
"Protector."
Yaani
Mlinzi au mtetezi
Hivyo kwa maana hiyo sote tunafahamu hizi ni sifa za mwenyezi Mungu ambaye kwa majina yake hapana shaka katika kumuabudu na kumuomba jambo japo ni kwa lugha tofauti na lugha iliyobarikiwa kwa utajo huo.

Vile vile jina hili la tatu lina mizani ya taf il,
na ina consists of a ta' ambayo inakuwa marked with two upper diacritic.
and voweled with a fat'ha, ikifuatiwa na unvoweled
ta' marked with two upper diacritics,
followed by a lam voweled with a kasra, followed by an unvoweled
ya' marked with two lower diacritics, followed by a nunated ha'. The letter corresponding to it is jim,
and the mansion corresponding to it is AI-Thuraiya.
so that; utajo wake unakuwa Tatlihin kwa wingi yaani ukitaka kutaja zaidi ya mara moja na Tatlihi kama ukitaka kutaja mara moja

Yafuatayo ni matumizi yake:

Kama mtu akiandika jina hili kwa herufi hizo za kipersian basi moja kwa moja akaandika mara 13 katika sahani ya bati na akaweka sehemu ambayo kunaingiliwa na wadudu mfano kunguni, wataondoka eneo hilo na hawatarudi milele hasa wadudu ambao hawana faida kwa mwanadamu kwa idhini ya mwenyezi Mungu.

Vile vile kama mtu atakuwa ni mwenye kulisoma au kutaja mara 70 kila siku, hata kutwa na kifo hadi pale atakapokuwa ni tajiri au ametajirika na kama atasoma mara 112 kila siku basi atabalikiwa kuwa na maisha asiyoweza kulia njaa kwa watu.
Kama mtu katika ndoa yake hakuna heshima na haheshimiwi na mwenza wake kila siku makelele basi akiandika na kuvaa kwenye kofia kichwani au akifunga kichwani kwake akiwa kaandika kwenye ngozi ya swala na akapakaa mafuta ya miski ngozi hiyo na zafarani ya chenga akaandika mara 70 na kusomea mara 70 basi mwenza wake atamtii hadi atashangaa mwenyewe.

Na kama mtu akisoma majina yote haya matatu kwa utajo mtakatifu nitakao ufundisha baaadae kwa njia ya kuficha basi ataamuru kutoa na kuingiza kila pepo na viumbe wa kiroho wa juu warukao na wa chini watamtii.

Somo litaendelea on time kwenye groups lakini kwa hapa nikipata wasaa.

MAJINA NA TARATIBU ZINGINE ZITAENDELEA KWENYE GROUP YETU YA WHATSAPP.

Hii ni sadaka nimetoa kwa ambao hawaamini pia na wafanyao ili kujiaminisha

VIGEZO VYA KUJIUNGA NA GROUP:

Group A:

Kama kawaida group hii huingia members ambao ni watu wazima na wenye familia ambao wanajielewa na sio watu wenye kuhangaika na makuu wenye hekima wasiopiga kumzo zaidi ya kupokea material:

Kiingilio cha humu ni 300,000TSH kwa Mwezi na humo huuliza swali lolote ama kuangaliziwa chochote ama kuelekezwa chochote kwa muda wa mwezi mmoja wakati wowote na msaada wa haraka saa 24 ikiwa jambo limeenda tofauti.

GROUP B:

Humu hukaa watu wenye marika ya kawaida wenye hadhi ya kawaida mchanganyiko umri usiopungua miaka 20 nao hulipia 100,000TSH kwa kujifunza yote haya ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali na msaada wa papo kwa hapo katika muongozo hata usiku mwisho saa 8 usiku.

GROUP C:

Ni watu wenye hadhi ya kawaida mchanganyiko wenye kipato kidogo au wenye kuanza maisha na wenye kutaka kujifunza haya majina pekee hawa kwa wiki hulipia elfu 10,000TSH

GROUP D:

Hii ni group ya watu kusomewa nyota tu. Nyota kila siku na kuchambuliwa baina ya mwenza na mwenza na maswali yote yanayohusu nyota kwa maulizo au kujifunza unajimu moja kwa moja. gharama yake ni elfu 10,000 kila wiki nayo ina members

Mawasiliano:
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia

Email: rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp: +255 783 930 601

Kwa haya na mengineyo tembelea


Rakims
 
JINA LA TATU:
Jina la tatu katika utajo huu mtakatifu tunaita TATLIH تتلة
Hili ni jina ambalo maana yake katika lugha ya kiarabu ni
"the Most Holy and Omnipotent,"
Yaani
"aliye Mtakatifu na Muweza wa yote"
na according to another view,
"the Most Glorified and Holy";
yaani
Aliyetukuka na Mtakatifu
and according to another view,
"the Omniscient";
yaani
"Mjuzi wa yote"
and according to another view,
"Protector."
Yaani
Mlinzi au mtetezi
Hivyo kwa maana hiyo sote tunafahamu hizi ni sifa za mwenyezi Mungu ambaye kwa majina yake hapana shaka katika kumuabudu na kumuomba jambo japo ni kwa lugha tofauti na lugha iliyobarikiwa kwa utajo huo.

Vile vile jina hili la tatu lina mizani ya taf il,
na ina consists of a ta' ambayo inakuwa marked with two upper diacritic.
and voweled with a fat'ha, ikifuatiwa na unvoweled
ta' marked with two upper diacritics,
followed by a lam voweled with a kasra, followed by an unvoweled
ya' marked with two lower diacritics, followed by a nunated ha'. The letter corresponding to it is jim,
and the mansion corresponding to it is AI-Thuraiya.
so that; utajo wake unakuwa Tatlihin kwa wingi yaani ukitaka kutaja zaidi ya mara moja na Tatlihi kama ukitaka kutaja mara moja

Yafuatayo ni matumizi yake:

Kama mtu akiandika jina hili kwa herufi hizo za kipersian basi moja kwa moja akaandika mara 13 katika sahani ya bati na akaweka sehemu ambayo kunaingiliwa na wadudu mfano kunguni, wataondoka eneo hilo na hawatarudi milele hasa wadudu ambao hawana faida kwa mwanadamu kwa idhini ya mwenyezi Mungu.

Vile vile kama mtu atakuwa ni mwenye kulisoma au kutaja mara 70 kila siku, hata kutwa na kifo hadi pale atakapokuwa ni tajiri au ametajirika na kama atasoma mara 112 kila siku basi atabalikiwa kuwa na maisha asiyoweza kulia njaa kwa watu.

Kama mtu katika ndoa yake hakuna heshima na haheshimiwi na mwenza wake kila siku makelele basi akiandika na kuvaa kwenye kofia kichwani au akifunga kichwani kwake akiwa kaandika kwenye ngozi ya swala na akapakaa mafuta ya miski ngozi hiyo na zafarani ya chenga akaandika mara 70 na kusomea mara 70 basi mwenza wake atamtii hadi atashangaa mwenyewe.

Na kama mtu akisoma majina yote haya matatu kwa utajo mtakatifu nitakao ufundisha baaadae kwa njia ya kuficha basi ataamuru kutoa na kuingiza kila pepo na viumbe wa kiroho wa juu warukao na wa chini watamtii.

Somo litaendelea on time kwenye groups lakini kwa hapa nikipata wasaa.

Rakims
 
Sijaelewa kitu katika hayo majina machache kwa hiyo nakosa kushawishika kuchagua group la kujiunga
Kwanini isiwe hivi
Teacher kiswahili tamka ticha
 
Sijaelewa kitu katika hayo majina machache kwa hiyo nakosa kushawishika kuchagua group la kujiunga
Kwanini isiwe hivi
Teacher kiswahili tamka ticha
Usijali mkuu, wenye uhitaji watajiunga hakuna lazima ya kujiunga

Rakims
 
hizo siku 40 unalitaja kwa namna gani, namaanisha kwa siku mara ngapi kwa muda gani?? au nikiamka tu asbh nalitaja kimoyomoyo au napayuka??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom