Chanzao cha Ugomvi wa Walimu, Doctors, Wananchi na Serikali ya Kikwete hiki hapa.....

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Inapofikia hatua watu wana njaa wanadai haki yao kwa sababu hawana mahitaji ya msingi lakini ikaonekana baadhi ya viongozi ndani ya serikali na watumishi wa umma wanajilimbikizia fungu kubwa la keki ya taifa wakati wengine wanataabika. Picha hii hapa chini inaonesha kinachotendwa na serikali ya CCM na serikali yake.

attachment.php

Tafakari sana hiii.........ugomvi hauwezi kuisha kama baadhi yetu wana share kubwa namna hiiiiiiii...
 
Attachments

  • 395972_10150487593844525_779044524_8496719_1399306683_n.jpg
    395972_10150487593844525_779044524_8496719_1399306683_n.jpg
    65.9 KB · Views: 880
Mhe Waziri Mkuu alisema mwenyewe suala la posho za wabunge ni lazima. Akadai gharama za vitu zimepanda na suala hili liko mezani kwake. Tangu hapo wafanyakazi wakajua serkali inatambua kupanda kwa gharama za maisha. Na fedha ya kuwaongezea ipo. wao hawakujua kuwa iliyopo ni wabunge peke yao!!!
 
Kosa kubwa sana hiloo
 
Back
Top Bottom