Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,698
59,857
Nawasalimu wote.

Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho.

Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting.

UTANGULIZI
Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia rudia. Inaweza ukaimba kwa sauti au ukaimba kimoyo moyo.

Mfano:- Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya

Au:- Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari

Wengine huita majina kulingana na imani yao.

Uimbaji au kuongea kukirudiwa mara nyingi, tayari sauti itaanza kusikika ndani ya ubongo na kuulazimisha ubongo ukusikilize. Ubongo unapokubali kukusikiliza tayari nafsi yako itaanza kusikiliza kutoka kwenye ulimwengu wa roho.

KWANINI CHATING!?
Ndani ya akili ya mwanadamu au katika memory ya mwanadamu vimejaa vitu vinavyotoka katika ulimwengu wa mwili. Milango ya fahamu inaingiza kila sekunde taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili kwenye memory ya mwanadamu.

Sasa basi nafsi inakuwa inaujuzi mkubwa wa taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili. Siri za ulimwengu wa roho zinakuwa hazijulikani au zinajulikana kwa kiasi tu.

Chanting ni njia moja wapo ya Spiritual Induction. Unajilazimisha kuingia katika ulimwengu wa roho kwa kuulazimisha ubogo ufunge milango ya fahamu kwa muda. Utakapo anza kutamka maneno kwa kurudia rudia "You fake the brain" na baadae ubongo unakubaliana na hicho unachokifanya.

Unapofanya fanya kwa hisia (Imani) ndipo utaingia katika ulimwengu wa roho.

JE MUDA GANI WA KUFANYA NA WAPI
Chanting inafanyika popote. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti au popote.
Walokole wao huwa wanafanya chanting kwa kunena kwa lugha. Imani zingine wanafanya kwa namna ya wengine wanatamka "ohm" nk.

Wachawi nao wapo na namna ya kutamka.
Waebrania nao walikuwa na namna ya kutamka. Namna hii huwa naipenda maana ni rahisi "ABRACADABRA" Maana yake "Ninaumba kwa jinsi ninavyotamka" I create as I speak.

FAIDA ZA CHANTING
Faida kubwa kabisa ni kuingia katika ulimwengu wa roho by induction.

Kuondoa stress na kuwa na furaha.
Kuongeza uwezo wa kukumbuka.
Kujua siri za ulimwengu wa roho na kuwa open minded.

Na mambo mengi yafananayo na hayo.

MWENYE UFAHAMU AFAHAMU HAYA.
 
Hongera kwa mada nzuri..

Swali: Je, Chanting ni aina moja wapo ya Meditation? Ipi ni superior kati ya Chanting na Meditation?
 
Subscribed..

Thank.
 
Hongera kwa mada nzuri..

Swali: Je, Chanting ni aina moja wapo ya Meditation? Ipi ni superior kati ya Chanting na Meditation?
Kuna aina ya Meditation inaitwa "Mantra Meditation"

Man maana yake "Mind" tra maana yake "release"
Unachagua neno na kulirudia rudia. Mpaka utakapo release mind. Then utaingia spirituality.

Sasa basi "maombi, sala au vitu vifananvyo na hivyo vikifanywa kwa namna ya chanting unaingia kwenye ulimwengu wa roho"

Kwazi ni kwako tu.

UTAIFAHAMU KWELI NA HIYO KWELI ITAKUWEKA HURU
 
Nimekuelewa vizuri mkuu,

Je, nini lengo la meditation?
 
Nawasalimu wote.

Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho.

Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting.

UTANGULIZI
Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia rudia. Inaweza ukaimba kwa sauti au ukaimba kimoyo moyo.

Mfano:- Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya

Au:- Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari

Wengine huita majina kulingana na imani yao.

Uimbaji au kuongea kukirudiwa mara nyingi, tayari sauti itaanza kusikika ndani ya ubongo na kuulazimisha ubongo ukusikilize. Ubongo unapokubali kukusikiliza tayari nafsi yako itaanza kusikiliza kutoka kwenye ulimwengu wa roho.

KWANINI CHATING!?
Ndani ya akili ya mwanadamu au katika memory ya mwanadamu vimejaa vitu vinavyotoka katika ulimwengu wa mwili. Milango ya fahamu inaingiza kila sekunde taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili kwenye memory ya mwanadamu.

Sasa basi nafsi inakuwa inaujuzi mkubwa wa taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili. Siri za ulimwengu wa roho zinakuwa hazijulikani au zinajulikana kwa kiasi tu.

Chanting ni njia moja wapo ya Spiritual Induction. Unajilazimisha kuingia katika ulimwengu wa roho kwa kuulazimisha ubogo ufunge milango ya fahamu kwa muda. Utakapo anza kutamka maneno kwa kurudia rudia "You fake the brain" na baadae ubongo unakubaliana na hicho unachokifanya.

Unapofanya fanya kwa hisia (Imani) ndipo utaingia katika ulimwengu wa roho.

JE MUDA GANI WA KUFANYA NA WAPI
Chanting inafanyika popote. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti au popote.
Walokole wao huwa wanafanya chanting kwa kunena kwa lugha. Imani zingine wanafanya kwa namna ya wengine wanatamka "ohm" nk.

Wachawi nao wapo na namna ya kutamka.
Waebrania nao walikuwa na namna ya kutamka. Namna hii huwa naipenda maana ni rahisi "ABRACADABRA" Maana yake "Ninaumba kwa jinsi ninavyotamka" I create as I speak.

FAIDA ZA CHANTING
Faida kubwa kabisa ni kuingia katika ulimwengu wa roho by induction.

Kuondoa stress na kuwa na furaha.
Kuongeza uwezo wa kukumbuka.
Kujua siri za ulimwengu wa roho na kuwa open minded.

Na mambo mengi yafananayo na hayo.

MWENYE UFAHAMU AFAHAMU HAYA.
Mwenye ufahamu na aelewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom