Habari wadau!
Mimi ni mkazi wa kisemvule iliyopo mkoa wa Pwani.
Tuna changamoto ya Foleni kuanzia mbagara rangi 3 hadi kongowe, hii inatokana na ufinyu wa bararaba (nyembamba) kuanzia kokoto hadi kongowe.
Barabara ya mwendokasi imeishia hapo kokoto, ila kuendelea huko mbele ni single road ambayo kutokana na wingi wa magari hasa maroli yanayopeleka mizigo mikoa ya kusini imechangia ufinyu wa barabara hiyo.
Pia kuna mtelemko kuanzia hapo kokoto hadi Mzinga, ikitokea gari moja imezima au ikitokea ajali basi uwezekano wa kukaa ktk foleni hadi masaa 4 ni mkubwa sana.
Nazani hii barabara ipo chini ya Tanroad, sijajua wanampango gani wa kuipanua ziwe 4way kama ya mbezi.
Tumechoka na hiyo foleni. Kama kuna namna ya kufanya basi tunaomba watendaji mlifanyie kazi.
Ally Abbasy Sarai.
0692911361.