BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Kila la heri Mkuu huwezi jua unaweza ukaibuka na kitu kizito na pia huwa wana update kila wapatapo nafasi mpya.
Mkuu wangu hawa jamaaa kazi zao naona upande wa experience ni kuanzia 5-10 years, ila nasikia upande wa malipo wapo vizuri sana.
Wanataka ukiingia kazini basi unaanza kuchapa kazi tu kama kutakuwa na training basi ni ya muda mfupi...Hakuna kodi katika nchi nyingi za ME na waajiri wengi wanatoa employment benefits za hali ya juu ikiwemo elimu ya watoto (kama muajiriwa ana watoto), matibabu, accomodation na usafiri.
Sana mkuu wangu naona wanakazi nyingi sana, itabidi nikae nitulie nicheck vizuri kwanza, kuna kuna zingine zozote zile mkuu ukiwa unazipata basi tumwagie tu hapa