Chanel ten watangaze mgogoro na TANESCO

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Katika hali inayoonekana ni hujuma dhidi ya chenel 10, tangu yalipotokea mauaji ya Mwangosi, TANESCO Wanakata umeme kila ifikapo saa 1.00 usiku na kuuwasha nusu saa baada ya taarifa ya habari ya chanel ten kuanza. Je hii si janja ya kuwataka wote wenye ving'amuzi vya star times tuangalie taarifa za habari za tbc?
 
Maeneo yote ya pugu, gmboto, majohe na moshi bar.
 
Back
Top Bottom