Chanel Ten waonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM kuhusu tuiko la kijiji cha Ndago, Singida

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Chanel Ten hawaku-balance taarifa yao kuhusu tukio la kijiji cha Ndago, Singida na hivyo wameonyesha upendeleo wa dhahiri kwa CCM.

Ktk taarifa ya ya saa moja usiku huu, Ch Ten, ambayo inadaiwa mmoja wa wamilki wake ni RA, wametoa taarifa ya Shigela tu wa UVCCM na kuiacha kimakusudi ile ya CDM aliyoitoa Mwita Waitara iliyoelezea pia tukio hilo.

Pili, Shigela anawalaumu CDM kwa kifo cha mfuasi wao, ameshindwa kuuelezea umma ilikuwaje hao wafuasi wa CCM walikwenda kwenye mkutano wa CDM?
 
Wameonyesha upendeleo wa hali ya juu. Mwanzoni nilidhani labda itatoa ufafanuzi.
Labda taarifa ya mwita waitara haijawafikia bado.
Tumaini Makene vipi mkuu chanel ten hawakuwa na mwakilishi singida?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom