Chanel 10 na taarifa za mafuriko jijini Dar.

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Jamani fungulieni kituo cha televission cha chanel 10 ili kupata taarifa na hali halisi ya athari ya mvua katika jiji la dar es salaam. USALAMA KWANZA.
 
wanafanya promo wapewe msaada...alaf wakishapewa haifiki misaada hiyo kwa walengwa
 
Mawazo yenu yamepokelewa. Ila naona wanachofanya ni kutoa tahadhari tu kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom