CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

nilikuwa napitwa na mengi walllahi.................................

Jamani Mtambuzi nimefurahije kukuona!! Sweetie aliniambia kua umerudi na waendelea vizuri nikafurahiiii, hivi upo kwenye list ya PMs za kutuma usiku huu kwa fellow members.... Mzima wewe??
 
siamnini kama leo umeishiwa poz kabisa my rol modal! Nini kimekusibu? Au mr kakuudhi?
Karibu tuwatch wote Madrid vs Lyon

Face book I am Humbled kua am your role Model, ni tu kwamba lugha ya mpira is the only thing ambayo nimeshindwa kabisa kuelewa na kujifunza... Mr. ni mara chache kuniudhi kwa kweli.... Hivo akiniudhi hata JF haitakalika...lol

Wee team gani hapo??
 
AshaDii we kweli Kiboko. Yaani umekaa tu hapa kutazama watu wakipita, kuskiliza story etc? Haya bwana. Ngoja na mimi nikupe ya kwangu...
 
Lmao.... (sometimes even "I" think am crazy) Ila Roulette huwezi amini maelezo yangu ya 1st post ni genuine..... Haya naomba yako alter....
 
Face book I am Humbled kua am your role Model, ni tu kwamba lugha ya mpira is the only thing ambayo nimeshindwa kabisa kuelewa na kujifunza... Mr. ni mara chache kuniudhi kwa kweli.... Hivo akiniudhi hata JF haitakalika...lol

Wee team gani hapo??

Team ninayoisupport mimi ni Arsenal..but kwa hizi mbili mi nawasupport Madrid.
Mr naye ni mpenz wa futbol? Inabidi siku moja moja muwe mnaangalia wote. Soccer ni kitu kirahisi sana kukielewa
 
Hapo ndo pamenifanya niboreke.... yeye yupo kuangalia game, haoni wala haambiwi....lol... Nitajaribu basi kujifunza... naon moja kwa moja itabidi niingie Manchester....lol
 
Lmao.... (sometimes even "I" think am crazy) Ila Roulette huwezi amini maelezo yangu ya 1st post ni genuine..... Haya naomba yako alter....
I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!
 
Nimependa maneno ulivoandika.... Yaani nimejaribu iwe signature inanigomea..... Ngoja nikomae!!
 
hafu taim, manu wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na mkimbizi flani anaitwa valencia.
nikiripoti laivu kutoka old traffodi ni mimi mtangazaji wenu a.k.a "mswaki wa jiti"
 
Watu wa sports leo naona mwanirusha tu!! Face book kasema ni Lyons Vs Madrid, hawa wa Man-U nao wanacheza pia (as in sasa hivi)??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom