CHAGUWA HAPO NI TIKITIKI MAJI LIPI ZURI KIAFYA?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,354
33,192
HOW TO PICK THE PERFECT WATERMELON SELECT WHICH ONE GOOD,BETTER OR BEST?

CHAGUWA HAPO NI TIKITIKI MAJI LIPI ZURI KIAFYA?

GOOD, BETTER.BEST?

HOW TO PICK THE PERFECT WATERMELON 5 KEY TIPS FROM AN EXPERIENCED FARMER.jpg
 
mkuu sasa tuchague wakati tunaona kabisa hilo la upande wa kulia ni "best"..!!
 
La kwanza kulia umeonesha is the best, tukupinge uyajuaye zaidi!!
 
Hayote matatu sio mazuri kiafya kwasababu yana makovu ambapo inawezakuwa ni nyumba ya kukaa bakteria wa magonjwa. Over.
 
Tikiti zuri si mwonekano wa nje pekee , Je kama ndani kuna uoZo.

Ni vigumu kutoa jibu kwa kuona picha pekee. Labda nilitoboe na kuligonga gonga kama wanunuzi wafanyavyo....!
 
Hayanaga formula hayo. Unaweza kuchagua rangi, kugongagonga au hata kukata kipande uone lilivyo ndani, bado ukafika nyumbani na kulitupa lilivyo la ovyo!
 
Back
Top Bottom