CHADEMA yaisambaratisha CCM Uchaguzi wa Vijiji Kilosa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga Mgombea wa CHADEMA Kilango Mshana ameshinda kwa kura 451 dhidi ya 248 za Castory Manga wa CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B Mgombea wa CHADEMA George Banda ameibuka na ushindi wa kura 428 dhidi ya kura 155 za Abdallah Kimbaa wa CCM
 
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga Chadema imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B Chadema imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.

Lakini katibu mkuu Kinana si alikuwa huko hata majuma mawili hayajesha?
 
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga Chadema imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B Chadema imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.
ni kichapo tu from kagera to nachingwea.... Wananchi wamechoka udhalimu
 
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga CHADEMA imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B CHADEMA imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.

huo ni uonevu mkubwa.
 
Haya ni matokeo ya siasa za kidhalimu. Wananchi wamechoka na siasa za maneno wakati serikali ipo. Kodi mnakusanya, deni la taifa limeongeza mara kadhaa, maendeleo duni, huduma muhimu zote ni cost sharing kisa mnalipana allowance na kujitengea maeneo ya maziko.
 
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.

Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga CHADEMA imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.

Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B CHADEMA imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.

mkuu molemo kinana na nape si walikuwa huko na maripota wa lumumba wakawa wanaripoti jinsi wanavyokubalika katika maeneo tajwa?ubarikiwe molemo kwa taarifa murua.time will tell mbuyu chini
 
Wajameni!C ndo jangili watembo na nepi wametoka huko wakisema wanakijenga chama???Oooh maskini,kumbe hawakujua ndio wanakiua.CCM HAIKUBALIKI DUNIANI NA HATA MBINGUNI.
 
Back
Top Bottom