CHADEMA Yaisambaratisha CCM uchaguzi wa Kijiji Kondoa.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba wake kwa chama cha Mapinduzi baada ya kukibwaga vibaya kwenye uchaguzi wa kijiji Kondoa Kusini.

Uchaguzi huo ulifanyika jana katika kijiji cha Mlongia Kata ya Jangalo.Katika matokeo yaliyotangazwa muda mfupi uliopita mgombea wa Chadema ameibuka mshindi kwa kupata kura 184 dhidi ya 96 za CCM.Mgombea wa CUF ameambulia kura 9.Huu ni ushindi wa asilimia 64% kwa Chadema.

Mbunge wa Jimbo hilo ni Juma Nkamia wa CCM ambaye mara kadhaa amekuwa akiibeza na kuishambulia Chadema awapo bungeni.

Huu ni ushindi mkubwa kwa wanamageuzi kwani kijiji cha Mlongia ni kati ya vijiji vilivyoko ndani kabisa mkoani Dodoma.
 
Yeye Juma Nkamia huwa haongei na u-mbwa....... Chadema wanafahamu kwamba mwanadamu hawezi kuwa u-mbwa na

wananchi wa eneohilo wanafahamu fika wao sio u-mbwa, sasa wanampa kisago Bwana Nkamia mchana kweupee kwamba

hawaongei na anayebeza uumbaji wa mungu, mwanadamu hawezi kuwa -mbwa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba wake kwa chama cha Mapinduzi baada ya kukibwaga vibaya kwenye uchaguzi wa kijiji Kondoa Kusini.

Uchaguzi huo ulifanyika jana katika kijiji cha Mlongia Kata ya Jangalo.Katika matokeo yaliyotangazwa muda mfupi uliopita mgombea wa Chadema ameibuka mshindi kwa kupata kura 184 dhidi ya 96 za CCM.Mgombea wa CUF ameambulia kura 9.Huu ni ushindi wa asilimia 64% kwa Chadema.

Mbunge wa Jimbo hilo ni Juma Nkamia wa CCM ambaye mara kadhaa amekuwa akiibeza na kuishambulia Chadema awapo bungeni.

Huu ni ushindi mkubwa kwa wanamageuzi kwani kijiji cha Mlongia ni kati ya vijiji vilivyoko ndani kabisa mkoani Dodoma.
kadri wanavyo muweka ndani Sheik Ponda ndivyo ccm wanavyozidi kuchukiwa, sisi wana chadema tunamuomba Mungu aendelee kuwapotosha macho wasilione hilo
 
Kumbe ushindi wa asilimia 64 ni kubwagwa vibaya. Kwahiyo Dr. Slaa alibwagwa VIBAYA kwenye uchaguzi mkuu...
 
Safi sana!Vijana wa buku 7 waje waseme CHADEMA inapoteza umaarufu na kuombea dua mbaya Mh.MBOWE asiwe mkiti
 
Safi sana kondoa walikuaw wamelala sasa kama wameamka ni kitu kizuri
 
2jalbu kuwa waelewa jana jf coz w2 wanauliza maswali yenye majibu vichwani mwao we nan kakwambia DR Alivrugwa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba wake kwa chama cha Mapinduzi baada ya kukibwaga vibaya kwenye uchaguzi wa kijiji Kondoa Kusini.

Uchaguzi huo ulifanyika jana katika kijiji cha Mlongia Kata ya Jangalo.Katika matokeo yaliyotangazwa muda mfupi uliopita mgombea wa Chadema ameibuka mshindi kwa kupata kura 184 dhidi ya 96 za CCM.Mgombea wa CUF ameambulia kura 9.Huu ni ushindi wa asilimia 64% kwa Chadema.

Mbunge wa Jimbo hilo ni Juma Nkamia wa CCM ambaye mara kadhaa amekuwa akiibeza na kuishambulia Chadema awapo bungeni.

Huu ni ushindi mkubwa kwa wanamageuzi kwani kijiji cha Mlongia ni kati ya vijiji vilivyoko ndani kabisa mkoani Dodoma.

Hongera chama kubwa CDM....Songa mbele wacha kurudi nyuma....
 
Kumbe ushindi wa asilimia 64 ni kubwagwa vibaya. Kwahiyo Dr. Slaa alibwagwa VIBAYA kwenye uchaguzi mkuu...

Ccm ni janga la Taifa tuitokomeze......CDM ndo inachanja mbuga hivyoo we ng"aa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.....

CDM songa mbele 2015 tutawakomesha maccm.
 
Kumbe ushindi wa asilimia 64 ni kubwagwa vibaya. Kwahiyo Dr. Slaa alibwagwa VIBAYA kwenye uchaguzi mkuu...

kama unazijua hesabu za LOGIC,Huu ni uthibitisho kuwa CCM ilishindwa uchaguzi 2010,haiwezekani mara baada ya uchaguzi ule,ccm imekua ikishindwa
 
Hapana basi itamkwe ccm yabwagwa vizuri, are you happy now ZeMarcopolo?

Nimekuwa ninafuatilia comments za ZeMarcopolo nimegundua tatizo lake ni elimu yake ndogo. Hana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo. Wala usihangaike naye. The choice is yours, kumjibu post zake au kumpuuza.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hapana basi itamkwe ccm yabwagwa vizuri, are you happy now ZeMarcopolo?

Umemuweza huyu njaa kali,anawaza kwa kutumia tumbo, ifike sehemu tuache ushabiki ambao hauna maana penye kusifia sifu penye kubeza beza...
 
Kudadekiiiiii........2014 kazi mnayo hapo ndo mtakimbia kabisa,hata uchaguz mkuu mtaona mchungu
 
Back
Top Bottom