CHADEMA wakaombe msaada wa kisheria kwa Makamu wa Rais Masoud kuhusu suala la akina Halima Mdee, ana uzoefu mkubwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Hakuna ubishi tena kuwa Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe ndio kimepelekea Mbowe kutolewa Jela na Mikutano ya hadhara kuruhusiwa

Wote tulimsikia Zitto Kabwe akimuombea msamaha Mbowe kwa Rais Samia Kwenye kikao cha Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla mbele ya Viongozi wakuu wote wa Vyama vya Siasa

Maridhiano ya Chadema na CCM ni kuhusiana na hawa akina Halima Mdee na wenzake kuingia Bungeni kinyemela ndio nawashauri wawaombe akina Zitto Kabwe wawasaidie hasa mwanasheria wa kimataifa mh Othman Masoud

"Ni Yeye" keshavuta mafao kasepa, nchi ngumu hii!
 
Nchi hii mpaka wazee ni wajinga sana!! Weka facts cz issue ilikua Mahakaman ni vzr ueleze kwa kina kikosi kaz kilimtoa vp mbowe na kesi ilikua inaendelea Mahakaman? Je Mahakaman yalitolewa maelezo kua kikosi kaz kimemaliza hii kesi?
 
Very soon utadharaulika, mtu akiona uzi wako ana skip maana anajua hamna kitu ni ujinga tu! Naanza mimi!
 
Hakuna ubishi tena kuwa Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe ndio kimepelekea Mbowe kutolewa Jela na Mikutano ya hadhara kuruhusiwa

Wote tulimsikia Zitto Kabwe akimuombea msamaha Mbowe kwa Rais Samia Kwenye kikao cha Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla mbele ya Viongozi wakuu wote wa Vyama vya Siasa

Maridhiano ya Chadema na CCM ni kuhusiana na hawa akina Halima Mdee na wenzake kuingia Bungeni kinyemela ndio nawashauri wawaombe akina Zitto Kabwe wawasaidie hasa mwanasheria wa kimataifa mh Othman Masoud

"Ni Yeye" keshavuta mafao kasepa, nchi ngumu hii!
Waombe msaada au "misada" na mikusu?Wawaache tu.CCM wanawapenda sana hao covid 19.Ikibidi waongezwe mitano tena!
 
Back
Top Bottom