CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Nyinyi msioijua siasa mnahangaika sana na kuhangaisha wengine,chadema ni taasisi inamkumbukaje dr silla,wewe kama unampenda mfuate,taasisi ambayo itashindwa kusimamia uamuzi wake haitufai.labda nikuambie hivi,chadema ni zaidi ya mbowe.
 
Mtu mzima anakaa na kuanza kusema eti dr silaa aombwe radhi!!! Chadema sio mbowe chadema ni taasisi na taasisi ambayo haiwezi kusimamia uamuzi wake haitufai,kama unampenda sana dr silla mfuate,haukuona jinsi waliokuwa wakimpenda mrema walivyokuwa wakimfuata kila alipokuwa akihama chama?
Chadema ni mali ya Mbowe wewe.
 
Namshauri Anna, mgombea urais wa chama cha ACT, aungane na Slaa waanzishe chama chao cha siasa wachape kazi ya kupinga ufisadi. Sababu ni kuwa Chadema ya Mbowe inakumbatia ufisadi wakati ACT ni wasaliti siyo saizi ya Anna.
 
Ushauri mwingine bwana....

Hebu tuache unfounded feelings

Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done

Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
 
Ushauri mwingine bwana....

Hebu tuache unfounded feelings

Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done

Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
Hawawezi kukua huku wanamsingi wa msaliti mkuu.
 
Ccm imeongoza kwa kuchukua kata zote katika majimbo mbalimbali kushinda ukawa.
 
mimi ni CDM damu na simkumbuki Slaa

Jimboni kwangu mbunge wangu KASHINDA na madiwani 14 kati ya kata 18 yaani ccm ni kata 4 tu wakati 2010 diwani wa CDM alikuwa mmoja tu

MUNGU IBARIKI CDM
VIVA UKAWA
 
Hii ngoma ya maccm dr.slaa asingeiweza,ni ngoma nzito.
Nawashanga vyama visivyo Ukawa kushindwa kuunganisha nguvu kuing'oa ccm ili 2020 ground liwe tambarare.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom