CHADEMA tumechoka maneno matupu......

Moghati

Member
Jul 5, 2011
88
7
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani amnyamazishe mwingine...kama mnaweza kununua mitambo ya umeme nunueni na matatizo mengne muyasolve ambayo mnahic sisiem imeshndwa ila umma wa tz tuwaamini otherwise hatutaki maneno matupu,waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi...igeni mfano wa democratic na republic frm USA, watanzania wamestuka kuwa na nyie mpo
 
Malizana na hawa kwanza Joined 5th july 2011???? gambagamba????

285587_224280750941126_100000776075386_556463_2312589_n.jpg
 
kijana Tafuta topic ingine, hapo sio kwako.
Mwenye serikali ndio anatakiwa afanye kila kitu.
Ili chadema wafanye CCM wakae pembeni
 
mijitu mengine hayashirikishi ubongo kama unataka chadema wafanye ccm na walowezi na majambazi wake wakae pembeni uone moto wa chadema nyie ndio wale ambao mlioagizwa na bosi wenu vuvuzela nnauye muingie jamii mkahariau mijadahalo hapa acha utairi wewe
 
Upo sahihi mkuu kwasababu hata CHADEMA wanakusanya kodi.
Kodi inayokusanywa na cdm ni kubwa kuliko ya ccm ndio maana cdm hawataki posho.
Kwa hiyo CDM wanapaswa wachangie kwenye bajeti yetu pesa nyingi kuliko serikali.
Lakini naomba nikuulize mleta mada maswali machache;
i.Una umri gani?
ii.Ulishawahi kuugua ubongo?
iii.Ulishawahi kwenda shule?
iv.Leo umekula?
 
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani amnyamazishe mwingine...kama mnaweza kununua mitambo ya umeme nunueni na matatizo mengne muyasolve ambayo mnahic sisiem imeshndwa ila umma wa tz tuwaamini otherwise hatutaki maneno matupu,waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi...igeni mfano wa democratic na republic frm USA, watanzania wamestuka kuwa na nyie mpo

Vacate all government offices: magogoni na wizara zote, let CHADEMA move in and after 6 months njoo uposti progress tuone kweli kama wa wamekomaa kisiasa au la!
 
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani amnyamazishe mwingine...kama mnaweza kununua mitambo ya umeme nunueni na matatizo mengne muyasolve ambayo mnahic sisiem imeshndwa ila umma wa tz tuwaamini otherwise hatutaki maneno matupu,waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi...igeni mfano wa democratic na republic frm USA, watanzania wamestuka kuwa na nyie mpo

Join Date : 5th July 2011
Posts : 36
Rep Power : 0

Umeanza na unaendelea vibaya. Wanasema kunguru hafugiki, na lakuvunda halina ubani.
 
wanachukua ruzuku 230ml hata daraja la 3000, hawajajenga lakini kwa vuvuzela hawajambo.
 
We ni mbumbu wa mwisho,unatokea nchi gani?mambo ya TZ tuachie wenyewe,fata ya huko kwenu.
 
Upo sahihi mkuu kwasababu hata CHADEMA wanakusanya kodi.Kodi inayokusanywa na cdm ni kubwa kuliko ya ccm ndio maana cdm hawataki posho.Kwa hiyo CDM wanapaswa wachangie kwenye bajeti yetu pesa nyingi kuliko serikali.Lakini naomba nikuulize mleta mada maswali machache;i.Una umri gani?ii.Ulishawahi kuugua ubongo?iii.Ulishawahi kwenda shule?iv.Leo umekula?
dogo shule nimewai hudhuria...though ckufahamu shule angu huipati...
 
Wewe kilaza angalau ni mkweli kwa hiyo red "shule nimewai hudhuria". Ni sifa ya wapuuzi kama wewe, kwa sababu ni kweli kuhudhuria siyo lazima UELIMIKE
 
Chama magamba ndo wanazingua, fuatilia bunge ndo utajua..chadema hawana mamraka kisheria ya kujenga hilo daraja, ila waliadhimia posho zao ziende huko unakotaka wewe Magamba ya CcM Yakagomea.
 
Mleta thread naona frustrated au hatumii akili kufukiri, yaani watanzania wasivyo na fikra, yaani muwapigie ccm kura, af chadema waje kutekeleza ilani!!!!
 
We ni mbumbu wa mwisho,unatokea nchi gani?mambo ya TZ tuachie wenyewe,fata ya huko kwenu.
Nahic ww utakuwa mtoto wa kike....pili umenikumbusha mbali da tym nasoma shule ya msingi ndo nilisikiaga neno mbumbumbu, coz toka seko til namaliza versty nilikuwa na vichwa tupu.....
 
Wewe kilaza angalau ni mkweli kwa hiyo red "shule nimewai hudhuria". Ni sifa ya wapuuzi kama wewe, kwa sababu ni kweli kuhudhuria siyo lazima UELIMIKE
dogo umejua hata neno kilaza....mtafute mathew luhanga au mkandala dei knw me....i'm another level above da sky...au mtafute mbunge wako silinde atakwambia wh i am......
 
Back
Top Bottom