CHADEMA stukeni msipotumia akili mtajikuta mnaingia kwenye mtego wa Paulo Makonda na kumpa point tatu muhimu

Ona kiazi huyu! Alilelewa na ccm unamjua wewe?
Wapuuzi wanaaminishwa kila mtu nchi hii kaelimika, kapata wealth au utaalamu kwa ajili ya ccm!
Kama ingekuwa hivyo ccm ingeongoza kuwa na wajinga wengi?
Na hayo ya wajinga wengi sio mimi nasema bali tafiti nyingi zimeainisha hayo
Umelelewa na nan Kwan! Chadema si Jana tu au unajisahaulisha
 
Moja ya mtego mbaya ambao Chadema huwa wanashindwa kuruka ni kujadili matukio ya CCM, na kuondoka kwenye hoja zao za msingi.

Sasa hivi chama kina kampeni 255, lakini sio kitu wanachozungumza zaidi.
 
Think tank ya kijinga, mna miaka zaidi ya 30 sasa, hamna ofisi, hamjawahi kushika dola sasa hilo li think tank linawasaidia nini?
Mna miaka 60 maradakani mmeuza kila kitu na sasa mnataka kumalizia na bandari zetu mngekuwa na think tank ya maana msingefanya ujinga kama huu.. Mnachojua ni kukopa na kuuza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom