OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Ndiyo Wakuu, hesima kwenu. Baada ya ziara mbili za mwendelezo wa M4C wilayani Geita katka kata za Lwezera na Kasamwa, kesho makamanda wataendeleza harakati wilayani Kwimba,jimbo la Sumve katka kata ya Nyambiti.
Tathimini ya ziara hizo mbili wilayani geita ni kama ifuatavyo: Katka kata ya Lwezera ,kadi 20 za CCM na kofia 8 zilh rudishwa na kuchomwa moto.
Katka kata ya Kasamwa kadi 58 za CCM zili rudishwa na kuchomwa moto chini ya uratibu wa katibu cdm mkoa wa mwanza, ndugu Mshumbusi na Rogerz, katibu cdm wilayani geita na makamanda wengine.
MUSOMI MMOJA ALIPATA KUSEMA "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA, MWEREVU YUPO MATATANI." Hii ndo hali halisi, mtaji wa CCM vijijini haupo tena, wananchi wana hamasa sana ya mabadiliko.