CHADEMA on line.....Tawi limeishia wapi?????

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Wana JF tulikuwa na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA online, na tulifika wanachama zaidi ya thelathini. Mchakato uliishia wapi? Mwenye kumbukumbu anijuze!!!!
 
Ninachojua mimi kuna "MARAFIKI WA CHADEMA MTANDAONI" ila CDM ON LINE sijui.
 
Back
Top Bottom