Chadema njombe yatekeleza mkakati wa kumg'oa anna makinda na ccm 2014/15

ccm 2015 huku njombe hawatoki kwa mikakati inayofanyiwa kazi na cdm kwa sasa huku njombe
 
Anzeni kukusanyika makanisani kuiombea CHADEMA ,kwani uhakika wa CHADEMA kufika 2015 ni finyu na uhasama ndani ya Chama hicho ni mkubwa kiasi ya kutishia uhai wake.
 
hivi huwa anafika hata jimboni kwake maana kutwa kucha tunapishana nae dar..
 
Bavicha mnachanganyikiwa kweli chama chenu chenyewe wanapigana ndani kwa matofari hiyo nchi mnachukua mnaipeleka wapi.

Mapovu ya nini, makinda hana chake na ccm yake Njombe. Jiandae tunakuja na huko Bariadi,kuanzia kasoli mpaka ng'walali,tutaitafuta longalombogo kuja shishani. Tutaigeuza nkololo(mwamapalala) mpaka sapiwi,na tutalala Bunamhala na mwamtani bila kusahau kinang'weli. Chezea M4c wewe! Kitu peeoplees!
 
Mnatia kinyaa kuijadili Chandomo! Kwani hata Tom nyimbo aliibeba sana lkn kwavile ni chama cha Kaskazini, Wakuu wake wakampuuza na kumfanya ajione kama pesa yake anatupa chooni. Ndoo maana kaamua kutumia pesa yake kusomesha maskini kwenye shule iliyo pewa jina lake kule IGELANGO. CDM kina wenyewe hamuoni hata kabwe anatengwa! Lupugage nyee! Muvapuva ngita "MANGODOFU"
 
aliyuyo! aliyuyo! makinda
mwambenzela
 
Wafuasi wa shetani ni ngumu sana kuishi
Na wafuasi wa mungu wa mbingu na nchi,nyimbo alizoea maisha ya kimagambagamba yaani kula rushwa za wali,kofia,,vitenge,t.shirt , pombe za kienyeji na kula lift za kubebwa na malori,alipofika cdm akakuta huku ni kukaza misuri , kula na kuvaa ni juu yako,
cdm hakuna posho,cdm kuna wazalendo wa kweli na cdm hakuna kubeep kwenye masuala nyeti ya nchi,ulitegemea angeweza maisha haya huyo mchumia tumbp?
 
Back
Top Bottom