CHADEMA njia Panda, Mikoa yote Tanzania inataka Maandamano ya Amani. Wadai Mikoa Minne pekee haitoshi

Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani, kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa.

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake, lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili, Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
Hawana hela, na maandamano Yao ni usumbufu usione na tija
 
Hata sisi polisi tunaikubali chadema siku ikiingia madarakani mishahara yetu itaboreshwa
Screenshot_2024-02-20-17-45-58-1.png
 
Sawa tangazeni maandamano Nchi nzima muone kama yataleta Katiba Mpya na ugali mezani kwenu
Wape ushauri kuhusu njia bora zaidi itakayowaletea katiba mpya na ugali “mezani kwao”.

Unaweza pia kuwafahamisha kama katiba mpya na ugali tayari vimeshakamilika mezani kwako. Kwamba si hoja au ajenda za maana nchini kwa wakati huu. Hivyo, wasijisumbue bure.
 
Demand and Supply

Kanuni ya kawaida kabisa 😂
Hiyo kanuni huwa inachezeshwa (tilted) na “spana za uchumi na pesa” (economic and fiscal instruments).

Mabepari walishashtuka siku nyingi kuwa ukiachia huo “mkono usioonekana” ufanye yake bila kudhibitiwa nchi inaweza kutumbukizwa jehanamu bila kujua. Hivyo, wamegundua spana za kila aina kuweka sawa mambo ya demand and supply yasilete kizaa zaa. Sijui kama serikali ya JMT inauweza mchezo huo.
 
'...... ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake"

Usiongee vitu usivyovijua.
 
Hata El Bashir wa Sudan alidhani hivyo wakati yule dada anaongoza maandamano pale Khartoum, lakini yaliyo mpata hata sahau hadi mwisho wa uhai wake hapo gerezani anapo ishi kwa sasa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Maandamano ya Sudan yaliungwa mkono na nusu ya jeshi la nchi hiyo, ndiyo maana ikafikia hapo.

Sasa wanajeshi wa hapa bongo wamekaa mkao wa kuvizia teuzi na wengi ni machawa.
 
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani, kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa.

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake, lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili, Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
Chadema na viongozi wa chama litendeeni haki jiji la Dodoma, why majiji manne tu wakati Dodoma ni jiji, tamko lenu la Mtwara lije na suruhu tafadhalini
 
Demand and Supply

Kanuni ya kawaida kabisa 😂
Kwahiyo nawe unataka kujisahaulisha governmental intervention in price control in economy? The measures that government can take to ensure goods and services remain affordable to the public?
Mbatizaji kuna muda unajitoa umfahamu kabisa sijui kwanini😄
 
Y
Jibu kuntu, kuna watu ni mazwazwa hata hawajui kulinganisha mambo. Umempa za uso
Yaani Yohana mbatizaji kuna muda ananisikitisha sana. I wish ameiona ile comment. Kweli mtu analinganisha hali ya uchumi kipindi nchi inatoka kwenye vita na hali ya sasa nchi ikiwa imezungukwa na amani?!!🤣🤣
Hii inflation haijawahi tokea kwakweli.....
 
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani, kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa.

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake, lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili, Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
Erythrocyte uko sahihi sasa hivi CCM ni cosmetics ile nature haipo tena. Tena kwa sasa mmmmmh.
 
Chadema wanashindwa kuyafanya haya maandamano kuwa ya kitaifa.
Lakini wangepiga nyimbo za kotaifa kama vile "Tazama Ramani" katika mikutano yao.
 
Back
Top Bottom