Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

Umachinga, upiga debe, bodaboda na kuuza mihogo ya kukaanga vijiweni bado ni umaskini tu.
Magu rafiki wa maskini aliyedhamiria kusaidia a nao watoke ktk vilindi vya Umaskini.

Abarikiwe.
 
Umachinga, upiga debe, bodaboda na kuuza mihogo ya kukaanga vijiweni bado ni umaskini tu.
Unajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?

Unajua alikuwa anaenda kujenga masoko ya kisasa mangapi Nchi nzima ku Accommodate wafanyibiadhara wadogo Nchi nzima?

Unajua baada ya miaka 10 ya Magu tungekuwa wapi kiuchumi tabaka la chini?

Je, wajua wakati tunapata uhuru Dollar ilikuwa almost sawa na Tshs? Thamani ya shilingi ya Tanzania ilikuwa imara sana!!!

Tulipopata uhuru ,China na Tz wajua hatukuwa na tofauti sana kiuchumi?

Je wajua Magu alidhamiria kulipeleka Nchi ktk Uchumi wa kati na hatimaye tuwe mojawapo kati ya Dola kuu hapa Afrika?

Maono ya MAGUFULI hajaenda nayo Kaburini,

Tutayaishi na kuhakikisha YANATIMIA,

Na soon atatawala mtu mwenye kwenda kukamilisha maono hayo.

Aamen
 
Unajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?

Unajua alikuwa anaenda kujenga masoko ya kisasa mangapi Nchi nzima ku Accommodate wafanyibiadhara wadogo Nchi nzima...
Dola kuu tulikuwa tunapelekwa na mtu ambaye hawezi kuongea hata sentence moja ya kiingereza iliyonyooka huku ana PhD ambayo aliipata kwa lugha ya kingereza hicho hicho
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tukope kwa miradi ya maendeleo (development expenditure) tusikope kwa matumizi ya kawaida(recurrent expenditure)
Hilo ndilo hasa tatizo. Kukopa kwa nchi ni kawaida. Kinachogomba ni kuwa wanakopa halafu fedha zinatumika kwa matanuzi ya watawala.

Hata mtu bianafsi kukopa ni kawaida sana. Lakini ukikopa eti kwenda kunywa pombe au kufanya sheria hapa ni tatizo.

Tanzania ilitakiwa kwanza tupunguze matumizi yasiyo na lazima kama kuondoa vyeo vingi visivyo na faida eg ukuu wa wilaya etc, kuondoa matumizi ya magari ya kifahari, kupunguza ukubwa wa bunge, viongozi kusafiria madaraja ya ndege ya kawaida etc.. yaani kuna areas nyingi sana na kupunguza. Halfu sasa hata tukikopa, fedha zitumika kufanya mambo ya maana.
 
Hakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini,,
Ndiposa akaitisha azimio la arusha, na kutaifisha viwanda, majumba, na fedha za mabepari,
Yaani unamlinganisha hayati Nyerere na vitu vya hovyo 😡😡
 
Dola kuu tulikuwa tunapelekwa na mtu ambaye hawezi kuongea hata sentence moja ya kiingereza iliyonyooka huku ana PhD ambayo aliipata kwa lugha ya kingereza hicho hicho
🤣🤣🤣🤣🤣
Ninakwambia una tatizo mahala.

Yaani kiongozi mzuri mwenye kuamini ktk AFRICANISM apimwe Kwa lugha za KIKOLONI?

Magu alijua lugha nyingi sana na ulikuwa ukimsikia, hakupenda kukitukuza kiingereza.

Kiswahili ni Lugha ya Africa. Toka utumwani.

Amini ktk Uzalendo Si ktk maslah binafsi.
 
Unajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?

Unajua alikuwa anaenda kujenga masoko ya kisasa mangapi Nchi nzima ku Accommodate wafanyibiadhara wadogo Nchi nzima?

Unajua baada ya miaka 10 ya Magu tungekuwa wapi kiuchumi tabaka la chini?

Je, wajua wakati tunapata uhuru Dollar ilikuwa almost sawa na Tshs? Thamani ya shilingi ya Tanzania ilikuwa imara sana!!!

Tulipopata uhuru ,China na Tz wajua hatukuwa na tofauti sana kiuchumi?

Je wajua Magu alidhamiria kulipeleka Nchi ktk Uchumi wa kati na hatimaye tuwe mojawapo kati ya Dola kuu hapa Afrika?

Maono ya MAGUFULI hajaenda nayo Kaburini,

Tutayaishi na kuhakikisha YANATIMIA,

Na soon atatawala mtu mwenye kwenda kukamilisha maono hayo.

Aamen
Amen.
 
Ninakwambia una tatizo mahala.

Yaani kiongozi mzuri mwenye kuamini ktk AFRICANISM apimwe Kwa lugha za KIKOLONI...
Utatukuza lugha ambayo huijui? Kingereza alikuwa hakijui so akajificha kwenye kichaka cha uzalendo. Hata PhD yake ni fake na ndiyo sababu ya kifo cha Saa8.

Kama huamini hilo la kutokujua kingereza sema niweke moja ya clip zake akiongea hiyo lugha,utacheka ufe. Hata ukitaka nikutumie pm sema
 
Utatukuza lugha ambayo huijui? Kingereza alikuwa hakijui so akajificha kwenye kichaka cha uzalendo. Hata PhD yake ni fake na ndiyo sababu ya kifo cha Saa8. Kama huamini hilo la kutokujua kingereza sema niweke moja ya clip zake akiongea hiyo lugha,utacheka ufe. Hata ukitaka nikutumie pm sema
Magu alikuwa na akili za kipekee.

Hakuwa Genius Bali alikuwa ANGELOUS!!!!🙏🙏🙏🙏
 
Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Mwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,

Hukimbizana na wachuuzi wa mabarabarani Kila kukicha.

Magu alishughulika na matajiri waliomiliki Uchumi Kwa kukwepa KODI.

Nakumbuka Kuna muda Vituo vya mafuta matajiri waliungana Ili kugomea EFD, alimwambia wazifunge, BAADAYE wakaufyata.

Abarikiwe huko aliko.
 
Kwa hiyo hakukopa?
 
Alikopa Magu,

na Alisema wazi anakopa sababu uwezo wa kulipa anao sababu alikuwa anakusanya KODI.

Saiz wanakopa Kwa Kasi na Hawakusanyi Kodi Kwa matajiri.

Umeliona tofauti???
Makusanyo kipindi cha Magufuli yalikuwa ni kiasi gani na hivi sasa ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom