'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,685
Ndo ukweli!
Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu.

Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu'

Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiuliza utofauti wenu na cuf au act ambazo mnakesha kuwashambulia na kuwaita ccm b ni nini ilhali nanyi mnatoa watu huko kwenda kuitumikia ccm? Hamuoni kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha sgr? Utawasikia, 'chadema mpango wa Mungu'.

Ukiuliza vp kuhusu ofisi? Utasikia 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiwaonyesha picha ya ikulu, tena kwa kuwaoffer na miwani kabisa wale wenye matatizo ya macho, ili wamuone vizuri mwamba mbowe na wenzake wakitoka kupiga juice na chai. Utawasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji uhalisia wa demokrasia ipiganiwayo huko; utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji mbona matusi mengi sana? Utasikia 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji kwani Mungu huyu mnayemtania hivi ni babu yenu au? Utawasikia, 'Mungu ibariki chadema'.
Hata pale unapouliza kuhusu ruzuku, utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'.

Ukiuliza, 'hivi kwanini zitto anaonekana ana akili kuliko nyie nyote?! Utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

N.k. Yaani cdm ya sasa zaidi ya sentensi hizo walizoamua kujifariji nazo, hakuna kingine tena! Juu ya hapo wanakabiliwa na matatizo mengine makuu mawili au matatu;
1. Wivu
2. Majungu
3. Ujuaji mwingi

Warning!
Mungu hadhihakiwi. Hataniwi!
 
Asiyejua maana usimwambie maana.Jidai kama kazi inaendelea,achana na CHADEMA.Umeandika uzi kwa hasira sana.Sasa,watu ambao unaona hawakufai wala si sampuli yako ya nini kusumbuka nao hadi uanzishe uzi?Ulipo hapo jishikilie utaachwa na "tereni"!
🤣🤣🤣🤣
Mbona wewe hapa ndo mwenye hasira kamanda?!!!! Au nakusikia vibaya?
 
Asiyejua maana usimwambie maana.Jidai kama kazi inaendelea,achana na CHADEMA.Umeandika uzi kwa hasira sana.Sasa,watu ambao unaona hawakufai wala si sampuli yako ya nini kusumbuka nao hadi uanzishe uzi?Ulipo hapo jishikilie utaachwa na "tereni"!
Yeap yeye kama yupo upande wa mungu akae upande huo na kama chadema wapo upande wa shetani basi akae huko. Maana watu wapo na free will kuchagua Kati ya uzima au mema na mabaya.. ndio maana ya free will
 
Eti anataka ahakikishiwe kama kweli Mungu ni baba wa wana CHADEMA.Na vilevile,akili inavyomuendesha,role model wake ni Zitto ZK.Ambacho hapendi na hataki ni CHADEMA kujinasibisha na Mungu.Hilo tu ndiyo amekwazika.Kuna mtu hapo?
 
Mtoa mada hii waulize wenzio wa Lumumba mmeifanyia nchi nini baada ya kuitawala kwa zaidi ya miaka 60?,ccm imeigeuza nchi kuwa ya kifalme,wanarithishana wenyewe na zuzu kama wewe wamekuua kielimu, na matokeo yake unakuja na mada mbovu kama hii na umeona bila ya kuitaja CDM mada yako itakua mfu, elewa maadui wale wa 60s bado wapo ujinga, umasikini, maradhi na binamu yao rushwa na wote hawa wanalindwa na chama dola
 
Ndo ukweli!
Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu.

Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu'

Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiuliza utofauti wenu na cuf au act ambazo mnakesha kuwashambulia na kuwaita ccm b ni nini ilhali nanyi mnatoa watu huko kwenda kuitumikia ccm? Hamuoni kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha sgr? Utawasikia, 'chadema mpango wa Mungu'.

Ukiuliza vp kuhusu ofisi? Utasikia 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiwaonyesha picha ya ikulu, tena kwa kuwaoffer na miwani kabisa wale wenye matatizo ya macho, ili wamuone vizuri mwamba mbowe na wenzake wakitoka kupiga juice na chai. Utawasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji uhalisia wa demokrasia ipiganiwayo huko; utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji mbona matusi mengi sana? Utasikia 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji kwani Mungu huyu mnayemtania hivi ni babu yenu au? Utawasikia, 'Mungu ibariki chadema'.
Hata pale unapouliza kuhusu ruzuku, utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'.

Ukiuliza, 'hivi kwanini zitto anaonekana ana akili kuliko nyie nyote?! Utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

N.k. Yaani cdm ya sasa zaidi ya sentensi hizo walizoamua kujifariji nazo, hakuna kingine tena! Juu ya hapo wanakabiliwa na matatizo mengine makuu mawili au matatu;
1. Wivu
2. Majungu
3. Ujuaji mwingi

Warning!
Mungu hadhihakiwi. Hataniwi!
CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa sababu ni chama kilichotokana na Watanzania halali ila ccm inatumia mbinu nyingi za Kipesa,kiutawala,uongo,uonezi,ubaguzi,kesi za mchongo,kuwapangia Chadema nini cha kufanya wapende au wasipende hapo ndipo neno CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU linapozaliwa mtatumia mbinu mbalimbali kuiua CHADEMA lakini chama kitaendelea kung'aa.
 
Ndo ukweli!
Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu.

Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu'

Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiuliza utofauti wenu na cuf au act ambazo mnakesha kuwashambulia na kuwaita ccm b ni nini ilhali nanyi mnatoa watu huko kwenda kuitumikia ccm? Hamuoni kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha sgr? Utawasikia, 'chadema mpango wa Mungu'.

Ukiuliza vp kuhusu ofisi? Utasikia 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiwaonyesha picha ya ikulu, tena kwa kuwaoffer na miwani kabisa wale wenye matatizo ya macho, ili wamuone vizuri mwamba mbowe na wenzake wakitoka kupiga juice na chai. Utawasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji uhalisia wa demokrasia ipiganiwayo huko; utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji mbona matusi mengi sana? Utasikia 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji kwani Mungu huyu mnayemtania hivi ni babu yenu au? Utawasikia, 'Mungu ibariki chadema'.
Hata pale unapouliza kuhusu ruzuku, utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'.

Ukiuliza, 'hivi kwanini zitto anaonekana ana akili kuliko nyie nyote?! Utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

N.k. Yaani cdm ya sasa zaidi ya sentensi hizo walizoamua kujifariji nazo, hakuna kingine tena! Juu ya hapo wanakabiliwa na matatizo mengine makuu mawili au matatu;
1. Wivu
2. Majungu
3. Ujuaji mwingi

Warning!
Mungu hadhihakiwi. Hataniwi!
ni kwa nini unafurahia wapinzani wanapopata shida au changamoto??unajua umuhimu wa upinzani katika ustawi wa nchi kidemokrasia na kimaendeleo??upinzani ni watchdog wa serikali, wanasaidia serikali kujirekebisha sehemu ambayo waliteleza etc!sasa nashangaa sana kuna watanzania wanafurahia kutokua na upinzani au wanawachukia wapinzani!huu ni ujuha wa hali ya juu sana na nadhani ni kukosa akili tu au nitumie neno kali kdg, huu ni upumbavu!!

Magufuli nilikua namkubali sana utendaji wake, moyo wake wa kujituma na kufuatilia jambo, tabia yake ya kupenda matendo kuliko maneno mengi etc!lakini alikua ananikera tu tabia yake ya kutowapenda wapinzani na kuwachukulia kama maadui while ni watu ambao wangemsaidia vzr kuendesha nchi maana wanamuonyesha maeneo yenye changamoto na yy angekua anazitatua etc!mwisho wa siku sifa zingerudi kwake kama rais!lkn nae alijazwa ujinga na watu kama huyu mtoa mada na mwisho wake akawa anawachukulia wapinzani maadui na kuwafanyia matendo ya kinyama sana yaliyofifisha sifa zake nzuri za kiutendaji!
 
Ila utani kwa Mungu umekuwa mkubwa sana siku hizi, unaposema chadema ni mpango wa Mungu halafu yakitokea ya kutokwa mnalaumu ccm sasa ccm inaweza kuzuia alichokipanga Mungu? Kuanzia Dr Slaa Lowasa hadi Lissu wote hao ni mipango ya Mungu iliyofeli mbele ya serokali ya ccm, sasa hii ni kumfanya Mungu sijui kama nani?
 
Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa,isiyokuwa na dini,yenye kufuata Mfumo wa Vyama Vingi vya siasa.(Ibara 1 na 3 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977)
 
Kimekuwa chama Cha kibabaishaji tu hakina dira Wala muelekeo, hakina Sera Wala ajenda, Mbowe ndio dira na muelekeo wao na ndio ilani yao wote, Ndio maana kimepuuzwa na watanzania
 
Back
Top Bottom