Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.

Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
544
328
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.

Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.
Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.

Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!
 
Mods ondoeni upuuzi wa huyu jamaa! Hata mfumuko wa bei hawezi kufikiria unatokana na nini hasa, mgomo wa madaktari vile vile kafuata hotuba ya upotoshaji iliyotolewa na Vasco Da Traveller wa Tanzania.

Hawa ndio CHADEMA.
 
Mbona unatoka povu tu wewe GunStar, tuliza munkari uelezee hoja yako kwa ufasaa huenda ukaeleweka. Hayo matatizo uliyotaja yanatoka na na Udhaifu wa Rais Kikwete na Uzembe wa wabunge kushindwa kuisimamia serikali na sio CDM. Jipande upwa au nenda jukwaa la watoto wa chekechea
 
Mikakati yenu ni hatari kwani badala ya kusaidia ninyi mmekuwa
munahujumu na kuifanya nchi iende vibaya ili uwe mtaji wenu mwaka
2015.
 
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.

Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.

Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.

Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!

Ni kweli kuwa CHADEMA ni hatari sana kwa wale wasiotaka mabadiliko (yaani ccm iendelee kutawala). Hapo kwenye RED: Hata kabla ya Kipindi CUF kuwa chama kikuu cha upinzani migomo ilikuwapo (FFU waliua wakata miwa Morogoro wakidai haki zao zitokanazo na mishahara wakati Mwinyi akiwa Rais, waalimu waligoma, wanafunzi waligoma n.k). Migomo ilipungua enzi ya Mkapa kwa kuwa angalau kulikuwa na nidhamu ya matumizi kwa kiasi fulani na mfumuko wa bei ulidhibitiwa. Hata madai ya leo ya madaktari ni kutokana na kile kilichokubaliwa na serikali ya Mkapa.

MIGOMO IMEZIDI LEO KUTOKANA NA UDHAIFU WA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI!! Na huwezi kuwalaumu CHADEMA kwa hili maana HAWAJAIWEKA serikali hii!
 
Moyoni unajua kabisa kwanini migomo imezidi wakati wa Kikwete
na Mwinyi na kupungua wakati wa mkapa, hali ya kuwa Mkapa
alikuwa miongoni mwa viongozi wabovu kabisa nchi hii.
 
Hakika kuna watu uwezo wao wa kufikiria ni mdogo kweli..
Ni kweli ndugu yangu nashukuru kwa kuliona hilo yaani
watu hata hawafikirii Jinsi CHADEMA walivyopeana UBUNGE kiundugu undugu
Yaani hamnazo kabisa hawa watu.
 
Moyoni unajua kabisa kwanini migomo imezidi wakati wa Kikwete
na Mwinyi na kupungua wakati wa mkapa, hali ya kuwa Mkapa
alikuwa miongoni mwa viongozi wabovu kabisa nchi hii.

Kama kiongozi mbovu ni yule anaefanikiwa kupunguza ukali wa maisha BASI NIPE KIONGOZI WA AINA HIYO SIKU YEYOTE.
 
kweli wewe ni hamnazo tena ni debe tupu ambalo haliishi kupiga makelele. Ningekuona wa mana kama ungewasifia chadema kwa kazi nzuli walioifanya na wanayo endelea kuifanya hadi hii leo. Tatizo siyo chadema ndio waletao matatizo bali chadema inawaelimisha na kuwapa elimu watanzania ili waweze kujitambua na kutambua haki zao za msingi. Hakuna zama za ndio mzee hapa big up chadema
 
Chadema wanajulikana hawana maadili kama unabisha tazama vituko vya uzinifuu wa katibu mkuu wao. Katazame na watoto wanavyojiuza pale kwenye biashara ya mwenyekiti wao. Sasa unategemea nini kutoka chama kinachoongozwa na watu kama hao. Hata pale Keys kwa mzee Ndesamburo pita usiku uone makahaba wanavyojiuza nje nje. Unategemea nini ndugu yangu?
 
kweli wewe ni hamnazo tena ni debe tupu ambalo haliishi kupiga makelele. Ningekuona wa mana kama ungewasifia chadema kwa kazi nzuli walioifanya na wanayo endelea kuifanya hadi hii leo. Tatizo siyo chadema ndio waletao matatizo bali chadema inawaelimisha na kuwapa elimu watanzania ili waweze kujitambua na kutambua haki zao za msingi. Hakuna zama za ndio mzee hapa big up chadema

Kwa hili kikwete anastahili pongezi sana kwa kutoingilia uhuru
wa vyombo vya habari na Bunge, ndio maana watu wamekuwa
huru kuhoji na kudadisi kila kinachoendelea nchi hii, unafikiri
zile zama za Wababe CHADEMA ingekuwa na uwezo huo?
Enzi zile ni kamata weka ndani!!!!!!!

Eti Chademaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha....badala uelekeze tuhuma zote ulizozitaja hapo juu kwenye chama tawala kwa kushindwa kudhibiti yote hayo unaelekeza kwenye chama cha upinzani??......kuwa mzalendo basi mkuu...acha uoga
 
Tatizo kuna mambo yako nyuma ya Pazia hayaonekani kwa jicho
la kawaida, jinsi CHADEMA walivyo hatari kuna wana CCM wengine ambao
Wanafanya kazi kwa manufaa ya CHADEMA ni ngumu kunielewa
lakini utakapotumia kichwa vizuri kutafakari utakubaliana nami
iwapo si mmoja wao.
 
Ni kweli ndugu yangu nashukuru kwa kuliona hilo yaani
watu hata hawafikirii Jinsi CHADEMA walivyopeana UBUNGE kiundugu undugu
Yaani hamnazo kabisa hawa watu.
Mkuu hebu nieleweshe vizuri CHADEMA wanavyohusika maana yake kuna watu nawaambia hawanielewi.
 
Ukishindwa hoja unaingiza udini.
Unaongelea chadema na siasa zao?
Au umebanabana udini kuichamba CDM?

Moyoni unajua kabisa kwanini migomo imezidi wakati wa Kikwete
na Mwinyi na kupungua wakati wa mkapa, hali ya kuwa Mkapa
alikuwa miongoni mwa viongozi wabovu kabisa nchi hii.
 
Unaonyesha jinsi ulivyo na uwezo DHAIFU wa kuchanganua mambo. Sijui CHADEMA inahusika vipi na ongezeko la migomo, utendaji finyu na mfumuko wa kutisha wa bei mbali mbali za bidhaa. Wafanyakazi wa Tanzania si wapumbavu kiasi hicho kuendelea kudhulumiwa ndani ya nchi yao yenye utajiri mkubwa kwa kisingizio "Serikali haina uwezo" huku ufisadi ndani ya Serikali ukizidi kushamiri na rasilimali za nchi zizikidi kuibiwa bila wale walio madarakani kuchukua hatua zozote pamoja na Watanzania kupiga kelele kila kukicha kuhusu kutoridhishwa na mikataba mbali mbali nchi iliyoingia na "wachukuaji" kutokuwa na maslahi ya aina yoyote ile kwa Tanzania na Watanzania.

Fungua macho na akuli yako ili uongeze uwezo wa kuchanganua mambo uweze kujua nini kinachojiri ndani ya nchi yetu badala ya kurudia ngojera za Serikali/Magamba DHAIFU.

Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.

Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.

Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.

Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!
 
Unaonyesha jinsi ulivyo na uwezo DHAIFU wa kuchanganua mambo. Sijui CHADEMA inahusika vipi na ongezeko la migomo, utendaji finyu na mfumuko wa kutisha wa bei mbali mbali za bidhaa. Wafanyakazi wa Tanzania si wapumbavu kiasi hicho kuendelea kudhulumiwa ndani ya nchi yao yenye utajiri mkubwa kwa kisingizio "Serikali haina uwezo" huku ufisadi ndani ya Serikali ukizidi kushamiri na rasilimali za nchi zizikidi kuibiwa bila wale walio madarakani kuchukua hatua zozote pamoja na Watanzania kupiga kelele kila kukicha kuhusu kutoridhishwa na mikataba mbali mbali nchi iliyoingia na "wachukuaji" kutokuwa na maslahi ya aina yoyote ile kwa Tanzania na Watanzania.

Fungua macho na akuli yako ili uongeze uwezo wa kuchanganua mambo uweze kujua nini kinachojiri ndani ya nchi yetu badala ya kurudia ngojera za Serikali/Magamba DHAIFU.

Wewe una macho kweli? Sawa kusoma huwezi lakini
hata picha?
 
Ukishindwa hoja unaingiza udini.
Unaongelea chadema na siasa zao?
Au umebanabana udini kuichamba CDM?
Kuna mtoto mmoja aliiba sukari akalamba mama yake akafika
akamuuliza jambo lingine kabisa yeye akasema sikuiba sukari
mama. Hoja ya udini sijaigusa kabisa.
 
Back
Top Bottom