CHADEMA ni ccm 'C'..!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Mbunge wa CUF, HAJI Khamis Kai wa Jimbo la Micheweni amesema kuwa anawapongeza sana CDM kwa kui'copy CUF kule Zanzibar na kufikia muafaka wa Udiwani na CCM kule Arusha.
Amemaliza kwa kusema kuwa sasa CDM imekuwa CCM 'C' (akikejeli kutokana na CUF kuitwa CCM'B')

Unasemaje mwanajamvi?
 
Kila siku hali ya maisha Micheweni duni. Hilo hata halihitaji uje na tochi, ndo useme wamulika.... Mungu ya kantaka tuye mara tatu, siye twaya mara mbili tena kwa taabu, sasa ni uyaji huo?!

Source; Channel ten
 
Ina maana Zanzibar ni mkoa kama Arusha na si nchi au?ha haa haa ccm c, tlp itakuwa d.
 
Mbunge wa CUF, HAJI Khamis Kai wa Jimbo la Micheweni amesema kuwa anawapongeza sana CDM kwa kui'copy CUF kule Zanzibar na kufikia muafaka wa Udiwani na CCM kule Arusha.
Amemaliza kwa kusema kuwa sasa CDM imekuwa CCM 'C' (akikejeli kutokana na CUF kuitwa CCM'B')

Unasemaje mwanajamvi?
so katake time bungeni kuongea huo upuuzi...stupid
 
Mimi binafsi nawapongeza CDM kwa kufunga ndoa na CCM..piipooozzzz CCM-C
 
hakika kuna wabunge wengine hamnazo kwani znz nz arusha ni wapi na wapi mbona haji kutofautisha mbuzi na ng`ombe naomba atolewe mbungeni hajui anchofanya.
 
Changamoto kwa CHADEMA. Wanayo kazi kufafanua kwa wananchi tofauti ya kilichofanyika Z'bar na walichofanya Arusha; na si jambo rahisi.
 
Hata mimi hili la mwafaka wa Arusha baina ya CDM na CCM silielewi, nahisi kama usaliti hivi. Tujuzeeni wakuu.
 
Mbunge wa CUF, HAJI Khamis Kai wa Jimbo la Micheweni amesema kuwa anawapongeza sana CDM kwa kui'copy CUF kule Zanzibar na kufikia muafaka wa Udiwani na CCM kule Arusha.
Amemaliza kwa kusema kuwa sasa CDM imekuwa CCM 'C' (akikejeli kutokana na CUF kuitwa CCM'B')

Unasemaje mwanajamvi?

Huo ndio ukweli mbona we ulikuwa hujui kwani? wana arusha hawawaelewi ndio maana mbuge kaja na tamko baada ya takribani wiki baada ya muafaka. Ajabu ni kuwa CDM ilikuwa na wawakilishi kwenye mazungumzo pengine jamaa hakujumuishwa kwenye vikao na pesa iliyotoka ya vikao ilikuwa ndefu!
 
Back
Top Bottom