CHADEMA ndo wamesusia shughuli za bunge?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .

TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
 
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka cn kutokana na mikutano ya CDM inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.

This is Craap!
Unaishi wapi Broda...mbona mnashindwa kutumia vizuri jukwaa kwa kuleta mabo ya msingi, instead unaonyesha wazi mwanaume unayemtumikia humu jamvini?....why?
 
Ndio safi ilimpitishe hilo bajeti lenu la kijinga bila kigingi
 
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .

TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION

Hapo penye red inaonesha ulivobutu katika kufikiri na kuutambuwa ukweli.

Unajisikiaje pale unapoona watanzania wenzako wakiteseka, kuumizwa na kuuwawa kwa kutumia polisi?
 
wakuu salaam,nimejaribu kufuatilia bunge ila naona kama wabunge wa chadema hawapo mjengoni
hii imekaaje?
 
Tundu Lissu nimeambiwa anasakata Rumba kila siku kipindi cha Bunge na Mama Anne Makinda. Kama vipi kaungane nao Club.

LISUMAKI.jpg
 
Eti muwape nchi watu wasioweza kukabiliana na changamoto wataweza? Maana wao kila siku eti wanaonewa tuu na hawaishi kuzirazira hv ni chama cha upinzani kweli hiki? Wangeweza tuu kutuma wawakilishi huko Arusha na wengine wangebaki kutoa michango yao bungeni na shughuli zingine, lkn kwa kuwa mtaji wao ni matukio wameganda huko na kususia bunge ili waonekane wanahuruma na wananchi na mm nachelea kusema kuwa wanafanya kampeni kwa kiporo cha uchaguzi wa udiwani kilichoahirishwa chini chini.
 
kaka unafikiri chadema wana roho ya ukatili kiasi hicho????? watu walio uawa ar ni watu wao na waliuawa wakiwa katika shuhuli inayo wahusu chadema kuendelea na bunge ni sawa na kudharau maafa yaliyo tokea na kuto jali utu na raia, sababu walio kufa ni binadamu na sio mbwa ndugu yangu uwe unatafakari kwanza kabla hujaamua kujibu hoja pamoja na kwamba walio kufa si wana ccm wenzio lakini kumbuka ni binadamu wennzio, ushabiki wa siasa usikufanye ukose hata chembe ya utu kidogo mkuu kkwani kuna siku hata kwako litatoke kwani huijui kesho yako ndugu yangu.
 
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .

TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION

brain yako haiko sawa,hivi wewe ukipatwa na msiba waga unaacha maiti ndani kabla ya kuizika unakwenda kazini??? Viongozi na wabunge wa Chadema tupo nao hapa Arusha kwa jili ya maombolezo pamoja na maziko ya wanachama wenzetu,hadi sasa tupo kwenye msafara wa kwenda kumzika marehemu Judy william aliyefariki kwenye tukio la mlipuko wa bomu.
 
This is Craap!
Unaishi wapi Broda...mbona mnashindwa kutumia vizuri jukwaa kwa kuleta mabo ya msingi, instead unaonyesha wazi mwanaume unayemtumikia humu jamvini?....why?

wahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake,badala ya kutaka kumfunga mdomo jitahidi tu kuwa mvumilivu,hiyo ndio democracy.
 
Kufa ni mara moja tu ila vikao vya bunge hata kesho vipo na hoja za kujadili kila siku zipo na zitaendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom