CHADEMA na usaliti kwa watu wenye nguvu kama Zitto Kabwe na sasa Tundu Lissu!

Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) jinamizi la usaliti limeendelea kuchukua sura mpya baada ya kada wake mwingine kudaiwa amekuwa akifanya mazungumzo ya kuongwa na kutaka kukidhohofisha chama hicho kikuu cha upinzani nchini, lawama hizo zimekuja baada ya kusemekana kuwa mwanasheria wa chama hicho Dr Tundu Lissu anafanya mazungumzo na mmja wa viongozi wa juu wa serikali Wassira ili kuusaliti umoja wa upinzani UKAWA na chama chake.

Hii kwa sababu Dr Lissu amekuwa mwiba kwa CCM na serikali yake ambapo mpaka sasa Dr Lissu anakubalika visiwani na kuangaliwa kwa jicho la tatu na serikali. Habari zina sema tiari Dr Lissu amehaidiwa milion mia nane na kuikataa na mwisho wakamuongezea na kufikia bilion moja 1.6 mpaka sasa inasemekana amekataa kupokea hongo hiyo.

Hii inakuja baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Zitto kuvuliwa nyazifa zote za uongozi ndani ya CHADEMA sasa kwa Dr Lissu na hawa wote ni watu wa kujenga hoja na kuzisimamia je Dr Lissu naye aweza kuwa msaliti, Naamini CHADEMA ni chama makini.

Upuuz huu, ka huna cha kuweka si uache 2 kwanza kichwa cha habr na kilichomo ni kama ugali na wali
 
tundu lisu hana hadhi ya kuhongwa hata elfu hamsini

Sio hana hadhi ya kuhongwa hata 50,000, ni kwamba hakuna mwanaccm yeyote anayethubutu kwenda kumwimbisha kamanda, nakuhakikishia, kuanzia mwanachama no 1 hadi yule wa chini kabisa jeuri ya kumfesi kamanda hawana. Hawajipendi kwani!
 
una dalili za kuanza kuwa mwehu,Wehu huwa unaanza kwa kutunga maneno kama haya. Wahi Milembe kabla ugonjwa wako haujakomaa.
 
Back
Top Bottom