CHADEMA na kauli za kukurupuka

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
374
28
1 wakowapi hao mawaziri sabini 2 mlisema nchi haitawaliki mbona inatawalika 3 je bananga na milia ni gamba au gwanda 4 shibuda mbona haondolewi na taasisi au ukoo wa mtei 5 je kutokana na udini na ukabila mliokuwanao mnampango gani kwa waislam kwasababu majimbo ya kaskazini meshayabatiza kikatoliki
 
Kwa kuwa umekurupuka,usahewe bùre,ccm inacheza ngoma ya nani? Kila dk wanaimba cdm
 
Hii ID yako imeniacha hoi! Yaani Mchuzi wa nyoka. Duh!!!
 
wewe jitambue nilijua at least umejua hata hali yako kumbe ola,huyo mtei unambpenda sanaaaaaa!waislam sie tumeshajua and tunaelewa nini cha kufanya usitusemee,tutasema wenyewe tukiona kunashida,jisemee mwenyewe maana najua nchi ikitwaliwa utakosa hata maji ya kunywa,na hivi ulishazoea kupewa.duh pole.utaolewa.jitazame kwanza!
 
CHADEMA imekufa tayari, sasahivi tunaaga, tunazika 2015.

Chadema ni zaidi ya chama. Ujumbe uliopo ndani ya Chadema ndio unaokifanya kuwa chama hai. Kama sera za chama tawala zitakuwa zilezile za kuendeleza ufisadi na uonevu wa wananchi, Chadema, au chama kingine ambacho kinapinga ufisadi na kuweka maendeleo ya wananchi mbele, hakika kitaendelea kuwepo, na wala havitakufa maana ujumbe huo daima utakuwa kwenye mioyo ya wananchi ambao daima watadai haki zao.
 
Asante sana Dingswayo, kiukweli umenifurahisha sana, inaelekea wewe ni mtaka na mpenda maendeleo ya ukweli kwa jamii na taifa zima kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom