CHADEMA msikubali kuuingia mtego huu

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Keep on turning the heater on them kwenye swala la Radar msikubali kabisa issue ya kwamba watapanga muda
mzuri wa kulijadili swala la Radar huo ni uongo wamezidiwa wanataka muachie ili baadaye spika atangaze kuwa hakuna
muda wa kutosha wa kujadili, kwa hiyo tusubiri kikao kijacho ili wapate muda wa kujipanga upya.

Hongereni sana wabunge wetu wa CHADEMA mmedhiirisha mapenzi yenu makubwa kwa nchi yetu badala ya kukubali kutumiwa kama rubber stamp.
 
Tungewapata wabunge kama 40 or 50 tungekuwa mbali sana sio hawa sokwe sijui wanataka kutupeleka wap? i hate them for sure
 
keep on turning the heater on them kwenye swala la radar msikubali kabisa issue ya kwamba watapanga mudamzuri wa kulijadili swala la radar huo ni uongo wamezidiwa wanataka muachie ili baadaye spika atangaze kuwa hakunamuda wa kutosha wa kujadili kwahiyo tusubiri kikao kijacho ili wapate muda wa kujipanga upya. Hongereni sana wabungewetu wa chadema mmedhiirisha mapenzi yenu makubwa kwa nchi yetu badala ya kukubali kutumiwa kama rubber stamp.
CCM nao watusaidie mpaka kieleweke.
 
Pia wawe macho na suala la katiba mpya maana kati ya haya mawili kuna uwezekano mkubwa wa mojawapo kupigwa chini kwa kisingizio cha upungufu wa mda wa kutosha,mie naona ni bora hata tukaipostpond ishu ya radar lakini wakomae na katiba mwanzo mwisho ili bunge hili liweze kuunda tume maalumu...hayo ndo yangu
 
Inabidi CHADEMA wamtumie sms ya nguvu (bold) Spika Makinda kuwa ama ahakikishe kuna muda ya kujadili hii issue ya rada kwenye kikao hiki cha bunge, au CHADEMA wataleta hoja hiyo kwenye bunge la wananchi huku uraiani. Lakini wakubali zomeazome kama hakuna mjadala Dodoma. Tumechoka na tactics za kitoto toka kwa huyu Spika.
 
wabunge wote wametumwa na wana nnchi chakushangaza wabunge ccm sijuwi ni mwanannci gani wanaye mteteya ushauli cdm hoja zinazo husu taifa hao wenzetu wanaopenda kutetea matumbo mafisadi waongo msiishie mujengoni sisi ndotulio watuma mludi kwetu nakuzunguka tanzania kote nakutueleza yote bila kumng'unya sisi ndotutakao amuwa wanjivunia uwingi bungeni wamesahau kwamba wametumwa nawalio watuma nisisi nakuwatowa uwezo tunao kusimamia uozo hatukuwatuma hayo cdm hao wamechakachuwa habali ledio tbc taifa ndoinaweza wafikia watanzani kwawingi kufatana na miundombinu yetu tbc taifa wanatangaza bunge saa3 hadi saa4 hoja nzito zinzanza saa4 hadi saa6 na saa11 jioni bunge hawatangazi kabisa wanajuwa madudu yanayo fanyika ingawa sidawa dawa ni kubadilika hawajijuwi nikuzidi kujiongezea wanao wachukia naludia cdm mkitoka bungeni nendeni hadi majimboni kwao yote mkayaseme hadi tulivo chakachuliwa habali ingawa katiba inaluhusa haki yakupewa habali
 
Inabidi CHADEMA wamtumie sms ya nguvu (bold) Spika Makinda kuwa ama ahakikishe kuna muda ya kujadili hii issue ya rada kwenye kikao hiki cha bunge, au CHADEMA wataleta hoja hiyo kwenye bunge la wananchi huku uraiani. Lakini wakubali zomeazome kama hakuna mjadala Dodoma. Tumechoka na tactics za kitoto toka kwa huyu Spika.

Hivi huku uraiani kumewahi kufanikiwa nini? Suala hapa ni kukomaa huko huko ili mwizi wetu awajibishwe. Lakini kwa mtindo huu wa kutukanana na kubezana sijui kama wabunge wengine hamtawaacha njiani.
 
mbopo,
wanapotaka ushahidi wakati wao wanao wanakuwa wana maana gani hebu tusaidiane ??
 
Back
Top Bottom