CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

Kwa jinsi nilivyoaminishwa na watu ninaowaamini, Dr Slaa,Lisu, Mnyika n.k, hadi leo naamini ni Fisadi. Ishu ya kutopelekwa mahakamani pengine ni kutokana na kulindana tu cz naamini kuna vigogo waliopo CCM ambao ni maswahiba wake nao ni wezi pia. Na mkichukulia kigezo cha kutofikishwa mahakamani basi hata CCM pengine mafisadi ni Mramba,Mgonja na wengine wadogowadogo tu waliowahi fikishwa huko.
Mahakama ya mafisadi imekosa wateja!
 
Ukisikia kula matapishi uliyotapika basi cdm wamekula,ule ushahidi walotuaminisha watanzania kuwa lowasa ni fisadi mkuu upo wapi kwa sasa?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hahahaha Dah! Basi kama jibu ni hapana itabidi alieanzisha hio Mahakama awe yeye ndio Fisadi.
Kwa aliyeianzisha mahakama ya mafisadi aliianzisha kwaajili ya lowasa?? Mbona hiyo imeanzishwa ili kukabiliana na mtu au wato ambao ni mafisadi... sio kwa ajili ya kumlenga mtu mmoja....
 
swalimbona rahisi sema watu kama nyie mnapoteza kumbukumbu mwanasheria msomi Tundu Lissu alisema ni fisadi ushaidi anao Mbowe,Halima Mdee, Mnyika, Lema , Msigwa wote walimsema ni fisadi kama aliona anasingiziwa angeenda kushitaki bila kumsahau Kubenea na vipeperushi vyake vya mwanahalisi ambaye alisema hasafishiki hata kwa dodoki wamebadilisha kauli baada ya kuvuta mpunga
 
Mleta mada anaumbuka.Lowassa ni fisadi juzi, leo na kesho. Haitakaa ibadilike
 
Awe fisadi au la kwangu sio lolote si chochote kwa sababu hatachukuliwa hatua yoyote hata kama kweli ni fisadi kwa sababu hata mahakama yenyewe ya mafisadi iliyoanzishwa kwa mbwembwe na kejeli imebuma kabla ya kuanza eti "imekosa kesi"!!?? Kwa hiyo maoni yangu kuhusu Lowassa hayana mashiko! Its a non issue period.
 
Mtu huyo huyo mmoja anasema uzi huu lowassa fisadi,uzi mwingine anasema si fisadi,uzi mwingine anasema hajui!Baada ya kuona hivyo nimegundua hili swali ni gumu sana mioyoni mwa watu!
Nafsi inawasuta,ilikuwa propaganda ya kumzuia asiende Ikulu,lakini sasa wanajikaanga wenyewe,walichotegemea sivyo.Mpaka 2020 tutasikia na kuona mengi.
 
Awe fisadi au la kwangu sio lolote si chochote kwa sababu hatachukuliwa hatua yoyote hata kama kweli ni fisadi kwa sababu hata mahakama yenyewe ya mafisadi iliyoanzishwa kwa mbwembwe na kejeli imebuma kabla ya kuanza eti "imekosa kesi"!!?? Kwa hiyo maoni yangu kuhusu Lowassa hayana mashiko! Its a non issue period.
Hii haidili na vitu vya nyuma
Tatizo hamfatilii vitu mnapayukapayuka2
 
hebu kawaulize walokuwa wanasema lowasa fisadi na ikawaje tena wakamkaribisha nadhani unaweza pata majibu!
Wakuulizwa ni magufuli na ccm.maana wao ndo walikuwa wabeba bango wakubwa.ukawa tulishashtuka tukaomuomba msamaha yameisha.zamu ya ccm sasa kumtaka radhi lowasa.kama kweli wao ni wastaarabu.
 
Back
Top Bottom