CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

Natanguliza na radhi kama nitakuwa nimekosea.Kila ninapotembea miji mingi humu Kenya, siwezi kukosa vibao vya waganga wa kienyeji wa kutoka Tanzania. Hivi, hawa waganga ni wa ukweli, ama?

Kama wanaweza kutibu mapenzi, ina maana watu Tanzania mapenzi yako tele sababu huwezi kuziba kwa mwenzio huku kwako kunavuja.
Eti, Mganga kutoka TZ,Mjukuu wa Sumbawanga, Nguza uone, Kiboko cha wachawi!

Ukatupa jongoo na mti wake....
 
lumumba wakielewa ulichoandika hapa mm najihuzulu jf
 
Mikutano ya ukawa wanamtaja lowassa, na mikutano ya ccm wanamtaja lowassa, hapo lazima ashinde.
Mgombea wa act anaitwa nani vile?
 
kweli ndugu. namshangaa mtu anayempigia kelele edo kwa sbbu hakika ni fd. mtu mwny kutumia more than a b per day 4 non sense & watz life gum hv. nahsi watu hawa wana masilah binafsi & I gues a worst gvnt itayoongozwa na edo. vjana cjui wana wa maskin km cc tutaoata kazi au had hawa wajpendekszao waneemeke. i end there but narudia.I dont trust anyone anayemuunga mkono edo

Unashangaza. Mbona sasa sijui nikuite dada au kaka maana sijui jinsia yako unajitekenya halafu unacheka? Sasa kama Chadema walimwita lowassa Fisadi na CCM walipinga kwa nguvu zao zote sio fisadi kwa nini leo usiwaulize wao kimewatokea nini hata kusema kuwa lowassa asichaguliwe kuwa rais kwa vile eti fisadi wakati huko nyuma walipoteza walikanusha? Kwa nini uwaulize Chadema pekee. Inawezekana chadema wametumia mtindo wa simba kusema eti mchezaji wa yanga kauza mechi hivyo yanga wakachukia na kumfukuza ghafla simba wakamnasa na kumsajili sasa wenzetu wa CCM nao watwambie lipi limewapata sasa hata wamwite fisadi yule ambaye walikuwa wanatetea kwa nguvu zao zote sio?
 
Nimejikuta tu napitia posts za Watu mbalimbali ambao wamejikuta wamebadilika ghafla ndani ya miezi miwili. Kuna mtu ukiangalia post yake ya Jully anamshushia laana Lowasa kwa kumuambia yeye ndie chanzo cha Umaskini, lakini post yake ya August anawatukana wanaompinga Lowasa na kuwaita mbumbumbu.
Mwingine nae upande wa pili alikuwa ana msifia sana Lowasa lakini leo anamshushia maneno machafu hatari.
Kiujumla kuna makundi kama matano hivi yamejitokeza
1. 4U na Teamlowasa (ambao nahisi hawajaonesha unafiki hadi sasa)
2. M4C mabadiliko (waliomtukana Lowasa mwanzo)
3. M4C asilia (waliobaki na msimamo wa kupinga mafisadi akiwemo Lowasa)
4. Lumumba HapaKazitu ( hawa baadhi walimuunga mkono Lowasa na baadhi hawakumuunga mkono lakini sasa kwa pamoja wanamponda)
5. Lumumba UlipoTupo (hawa waliiponda Ukawa lakini leo wanaiunga mkono kwakuwa Lowasa kapewa kiti)

Then nabaki najiuliza Ndio siasa ya dunia ilivyo, ni unafiki ama ni mabadiliko yenyewe?

Samahani kwa kuwa Biased kwenye picha maana sijatoa ya pande nyingine.
 
umewachambua vizuri sana

vigeugeu

wengi wa kufata mikumbo ya kubadilika hao ndio hata mabadiliko ambayo hayatakuja ya chama mfano ingetokea wangekuwa vile vile. hakuna mabadiliko kwa wao sababu hadi sasa wameshindwa kujibadilisha wanalaumu uongozi badala ya kujifunza wanalalamika tu na wataendelea kulalamika sababu ikija #hapakazitu ni wavivu na wala rushwa wengi ni wao wanaogopa pia jembe atawanyoosha. wanaona dk 5 hotuba ya mgombea kuongoza nchi ni sifa pale anasema maneno matatu makubwa ndio sera yake"naomba kura yako/zenu" kamaliza...mwaka huu uchaguzi vituko tunaviona
 
Nimejikuta tu napitia posts za Watu mbalimbali ambao wamejikuta wamebadilika ghafla ndani ya miezi miwili. Kuna mtu ukiangalia post yake ya Jully anamshushia laana Lowasa kwa kumuambia yeye ndie chanzo cha Umaskini, lakini post yake ya August anawatukana wanaompinga Lowasa na kuwaita mbumbumbu.
Mwingine nae upande wa pili alikuwa ana msifia sana Lowasa lakini leo anamshushia maneno machafu hatari.
Kiujumla kuna makundi kama matano hivi yamejitokeza
1. 4U na Teamlowasa (ambao nahisi hawajaonesha unafiki hadi sasa)
2. M4C mabadiliko (waliomtukana Lowasa mwanzo)
3. M4C asilia (waliobaki na msimamo wa kupinga mafisadi akiwemo Lowasa)
4. Lumumba HapaKazitu ( hawa baadhi walimuunga mkono Lowasa na baadhi hawakumuunga mkono lakini sasa kwa pamoja wanamponda)
5. Lumumba UlipoTupo (hawa waliiponda Ukawa lakini leo wanaiunga mkono kwakuwa Lowasa kapewa kiti)

Then nabaki najiuliza Ndio siasa ya dunia ilivyo, ni unafiki ama ni mabadiliko yenyewe?
View attachment 286949Samahani kwa kuwa Biased kwenye picha maana sijatoa ya pande nyingine.

Sidhani kama sheria za JF zinaruhusu jambo kama hili...
 
Hapana yangu kwa Lowassa itadumu siku zote za maisha yangu.

Umenena vyema mkuu, sijawahi ata siku kumkubali huyu Fisadi na nilikuwa M4C ila baada ya ujio wa huyu fisadi niliamua nikae pembeni nikiangalia movie nabado msimamo wangu uko palepale simkubali haakubaliki awe ndani ya ccm au nje ya ccm hakubaliki
 
Wengine hawa apa leo wanajinasibu kumsifia eti kiongozi mzur kwa lep? kumbe vichafu vikiwa kwa wenzio tu…!!!!
 
Attachments

  • 1442288666152.jpg
    1442288666152.jpg
    11.6 KB · Views: 1,408
Back
Top Bottom