CHADEMA kutumika News of Rwanda katika harakati za Rwanda kuichafua Tanzania

cyberspace

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
730
291
Mara nyingi nimeona News of Rwanda wakitumia au wakikinuku Chadema katika kuhalalisha propaganda zake . Je waungwana mnasemaje? Someni habari hapa chini.

Sun, Jan 26th, 2014 English / featured1 / Ibikorwa | By gahiji
RNC, FDLR Holding Talks At President Kikwete Residence

Dr Theogene Rudasingwa (R) with Condo Gervais are the ones meeting FDLR commanders in Tanzania on behalf of RNC

Two founding members of the Rwanda National Congress (RNC) including Dr Theogene Rudasingwa are meeting in Dar es Salaam with top FDLR rebel commanders at the private residence of Tanzanian president Jakaya Kikwete, say our sources.

The two delegations arrived at the Dar es Salaam venue on Thursday (23rd January), according the sources in Tanzania. RNC coordinator Dr Theogene Rudasingwa and adviser Condo Gervais are representing RNC. FDLR is being represented by its executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.

Lt Col Wilson Irategeka is the current public face of the Rwandan FDLR rebels very often appearing in media interviews. However, these are not his real names, as he is called Ndagijimana. Both Dr Rudasingwa and Condo are based in Washington.

The FDLR officers are travelling on Tanzanian passports, which is how FDLR emissaries have travelled previously. It is not entirely clear if the passports are provided officially by the State of Tanzania, or have been obtained via the backdoors by an elite faction to avoid public scrutiny.

As News of Rwanda reported this past week, former prime minister Faustin Twagiramungu was in Tanzania on the same mission since 19th January. However, he left Tanzania on Thursday for Lyon (France) where there was to preside over a scheduled delegates conference of his political group RDI Rwanda RWIZA on Saturday. Twagiramungu left before the RNC team arrived.

Meanwhile, Twagiramungu was also supposed to be at the same Dar es Salaam venue with RNC and FDLR, but had to leave for Lyon. News of Rwanda has not been able at this point to establish why exactly Twagiramungu chose to stay away. However, what is publicly known is that the former PM does not want to ever again go into a political marriage with a group involving the four RNC founders.

As the first post genocide prime minister, Twagiramungu resigned from government barely a year later. The ex-PM remains bitter with especially Dr Theogene Rudasingwa and Kayumba Nyamwasa for making his job impossible for him until he threw-in the towel. The two men were very senior officials wielding enormous political and military power.

Twagiramungu and several other Rwandan extremist groups have vowed never to go into political alliance with people who formed the establishment back in Rwanda, only to fall out of favour. For example, many of the exiled extremist politicians accuse former prosecutor general Gerald Gahima of witching-hunting them with fabricated genocide charges. Many say they had to buy their freedom even when they were innocent just to keep Gahima away from their tracks.

According to our sources, it is not the first time RNC emissaries representing its founder Kayumba Nyamwasa, have met FDLR rebels. As recent as around 20th December 2013, the same Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi travelled on Tanzanian passports to Mozambique for clandestine talks with the RNC emissaries.

As has been reported, Tanzania’s insider establishment is providing the base for organization and facilitation for travel to the FDLR rebels. Around mid-last year, FDLR deputy commander General Stanislas Nzeyimana (aka Izabayo Bigaruka) was announced to be in Tanzania. But weeks later, news surfaced that he had disappeared – prompting questions as to why he was in Tanzania in the first place.

In Tanzania, the opposition is not impressed with President Kikwete’s overtures to the FDLR. Back in August last year, CHADEMA, the biggest opposition party in Tanzania, accused President Kikwete of not walking the talk back home but interfering in internal affairs of Rwanda.

“There is no prudence in President Kikwete’s statement that Rwanda should have talks with the FDLR” militia group which has been in the DR Congo jungles since 1994, said Dr. Wilbroad Slaa, CHADEMA’s General Secretary at the time.

“How come President Kikwete cannot negotiate with opposition here at home,” Dr Slaa reportedly said at a CHADEMA Youth conference for economic and employment (BAVICHA) in Dar es Salaam.

He added: “… [President Kikwete] has not taken any measure against the murderers of journalist Daudi Mwangosi…He (Kikwete) was advised to take measures against police commander in Iringa Region (Province) Michal Kamuhanda but instead he has promoted him.”

Related News

Leave a comment
(Required)
(Will not be published) (Required)
(Optional)

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

All Rights Reserved | NewsOfRwanda.com
Home
National
Regional
Politics
Magazines
OP&ED
Follow
Follow News Of Rwanda – Rwanda News

Get every new post delivered to your Inbox

Join other followers
 
Kuna mengi nyuma ya pazia usiyoyajua ndugu yngu nakushauri tilia mkazo kutafuta mkate wako au km uko shule kazana na masomo gettin urself too much into thngs u have little facts will ruin ur mind & resources.
 
Are you sure? Ni mambo gani ambayo siyajui Ndugu yangu dadavua!!!!!!! Maana shule siyo mpaka uende darasani hata hili ni darasa tiririka mkuu.
 
mkuu kama umeshawai kuingia kwenye website ya newsofrwanda.com kuna articles nyingi sana za kumkejeli jk, hii nilikutana nayo kwenye web yao mwezi jana lakini haikunishtua. hizo ni propaganda za kagame tu na media zake. jambo la kupongeza ni kwamba CHADEMA haijawai kuwa kikwazo kwa JK katika siasa za kimataifa, refer malawi, EAC, hata ilo la rwanda CHADEMA wamekuwa watulivu sana, kwa hiyo sio kila kiandikwacho ni cha kukitilia maanani
 
Bila shaka unataka kuchafua chama chetu tulivu.. Kama umekosa cha kuandika bora ukae kimya kima ww..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Are you sure? Ni mambo gani ambayo siyajui Ndugu yangu dadavua!!!!!!! Maana shule siyo mpaka uende darasani hata hili ni darasa tiririka mkuu.

Kuna documentary inaitwa The Seven Sisters nimewahi kuifuatilia pia Al Jazeera. After watchin hii doc utagundua kua 70% ya mambo yanayoendelea inside Global politics hayajulikan to ordinary citizens. Ni rackets za watu wenye huge influence ya fedha na vyeo. Kagame aliingia Ikulu kwa influence ya USA nia ilikua ni kuzuia French influence isisambae Middle and Eastern Africa. The late Habyarimana was pro French and RPF were assisted by CIA Operatives mpka Kagame akapewa Scholarship ya kwenda kusoma Fortleavenworh Military College, Kansas 1990. (Ukumbuke alienda kama Kiongozi msaidizi wa Waasi na sio km maofisa wngne wanopelekwa na serikali zao) Kiongozi mkuu wa RPF kipindi hicho alikua Fred Rwigyema.
Rwanda vs. Tanzania:
Kinachotokea kati yetu sasa ni upepo tu na mluzi wake unapigwa magharibi ya Ulaya. France wako willing kusupport kwa hali yoyote mtu atakaye kua tayar kumtoa Kagame madarakani lakin kikwazo Kinakuja kuwa Kagame nae kwa kufaham maadui wakubwa anaoshindana nao akajiwekeza kwa mkubwa wao ambaye ndiye yule aliyemweka madarakani the super power USA. The only option France had was to infiltrate and defect Kagame's own senior officers ambao wangeanzisha vugu vugu la mapinduzi wakiwa abroad. hapa ndio unamzungumzia col. Kayumba Nyamwasa, Patrick Karegeya (late) na wengineo. Kwa hili France alifanikiwa tatizo likawa linabaki kwenye nguvu ya USA kumlinda kagame. Kwa kuweza kuwatumia M23 Kagame amechukua utajiri mkubwa wa madini Congo na kucheza rackets na makampuni makubwa ya vito vya dhamani nchini Marekani (sina uhakika na facts hizi ni hear say tu) ingawa kuhusu wizi wa madini Congo hilo am sure. USA is aware of what Kagame is doing lakini kasoro ikajitokeza tena na this tym ni influence ya wachina. Mwaka 2011 Naibu Waziri wa Biashara wa China Gao Hucheng alitembelea Kigali na nchi yake ili plege 18m USD loan, 9mil grant, in addition on top of all 9mil free loan (Hii ni hela kubwa kwa uchumi wa Rwanda). USA-Rwanda ties taratibu ikaanza kuyumba baada ya massive Chinese investments in Rwanda. Sasa USA akaruhusu UN ifanye kazi yake as a watchdog (all those tym USA Knew whats going on inside kigali). UN ikatoa tamko kuhusu Rwanda kuwasaidia waasi nchini Congo na kwamba kwa kufanya hivyo wanadestabilize amani ya maziwa makuu. July 21 2012 USA cut Military Aid to Rwanda in a stament quoted "we will not obligate $200,000 in fiscal year 2012 foreign Military financing fund that were inteded to support a Rwandan Academy.for non comissioned Officers"~ Hillary Fuller Renner, State Dept. Spokewoman.
Hapa ndipo France alipopata nguvu ya kuendelea na mpango wake dhidi ya Kagame na Serikali yake ambapo sasa anachotafuta ni taifa litakalo kua willing kusupport force removal from powers kwa Kagame. Kagame kwa kutambua tena influence ya USA inamkimbia prior hata tamko kamili la USA akaanzisha harakati za Rwanda kujiunga na EAC na mpka America inamtupa tayar Rwanda ikawa taifa mwanachama wa EAC. His close ties with Museven helped him convincing Kenyatta kwa pamoja Kenya, Uganda na Rwanda wawe na Ushirikiano wa kiulinzi ambao ulianza rasmi tarehe 1 jan. 2014 (too quick). By doing this Kagame had another plan B for backup against French hunting shadow.
After utilising all options considering Congo is weak (economywise and Militarly) so cant fight Rwanda, Uganda and Kenya are allies to Rwanda, Burundi is a tiny nation against Rwanda (economywise and Military) the only remaing and yet better option to counter Kagame's influence in the region was The United Repunlic of Tanzania.
Tatizo linakuja kwenye foreign policy na hali ya kiuchumi ya sasa ya Tanzania. She's not willing to go to war as she still fights for her chances for being regional power by 2020, yet TZ was ready to end Kagame's influence in Congo by providing Higly trained Military experts and bunch of troops with Elite comandoo Unit in support.
This was in agreement that all wil be under the cover of a UN Mission plus South Africa and the FARDC to form the inclusion of Assault frontline. In less than a week Kagame's M23 were defeated.
After all these Kagame tries whatever in his power to deminish the then influence of TZ as a regional peace maker also create faults in the EAC where TZ is a member and further tries to convice his counterparts (kagame and Kenyata) have their isolated relationship from TZ who looks as a threat for alligning with Western influences. The coalition of the willin was officialy formed and it was possible bcz Kagame has part his ways with his former western superiors, Museven has the same problem for being accused of supporting rebel stronghold and Kenyatta has the ICC trial which he also claimed to be the western propaganda so whoever who's likely to form close alliance with these westeners against his comrades will obvious be looked with sharp eye as a traitor and this is what is happening nw to a certain leader (????). Yet some thngs cant be revealed but it entails in detail that what u thnk has the length of ur finger ring is indeed different and it can even reach a mile ahead.
 
So JK anatumika na France to destabilize Rwanda? not sure lakini kama ni kweli for what interest?@mossad007
 
Ishu sio kudistabilize Rwanda ishu ni Kagame. TZ had opted indirect way of dealing with the issue by first dealing with insurgents (M23). Na kwamba the mission should be under the name of UN mandate. This was to concel enemity identity to Rwanda and being looked like a traitor to fellows EAC states. Lakin Kagame sio outsider kama mm na ww. he knows everythng ndio maana ukaona ile kauli ilimchukiza sana cz anaona unafiki umepitiliza mipaka. Lakin source wala sio ile kauli ya Mh. Rais source ni mbali kbsa, the deminish of France interests in Rwanda. Ukiniuliza kwa interests gani... That is upon Èlysée Palace to justify. Why dd they back Habyrimana and provide hm wth Presidential flight and paid for the running expenses..?? The fact kwamba Kagame killed two of their Officials (pilots) as the court ruled in France is justified reason for France to have him out of their sight for commiting a crime against their State. The fact that Kagame wept France monopoly in the region by Killing Habyarimana and installed USA monopoly is the justified reason why would france want him out of sight. Everythng is all about "INTERESTS" Do think Rick Machar is fighting for himself..?? where dd he got the money and power to run rebelion and where where these people have bn hiding and trained?? If the issues is helping People as he claimed why would he want to shell bombs and fire bullets which instantly end their lives...?? There are interests behind.. The Free Syrian Army claimed assad is a terrorist, oppressor, and un democratic... Mimi simtetei Assad hata kidgo but why do they employ Al qaeda to fight along them..?? if assad is a terrorist are Al qaeda law enforcers..?? who doesnt know the work of Al qaeda..?? If Assad is oppressor why dd they also use Chemical weapons (as per UN report) against innocent people they claimed they want to serve from oppression and lastly they call international press to shoot dozens of deadly bodies they claimed to have bn killed by Assad.. hawa watu ndo wakuwapa madaraka?? wanatoa uhai wa watu kwa tamaa ya madaraka..!! uzuri wake walionyuma yao hawajajificha wamejiweka wazi (France & USA). The same story is in Libya, Iraq and Currently Egypt. Ndio maana nikamwambia jamaa bora ukazane kutafuta ugali wako au kusoma. Lots of thngs happen in the back room that u don av an idea the only thng u see is a near aftermath saaa ukiwa too.emotional, angry wkat hujui where does the flow started unakua km kikaragosi tu.. mambo ya CHADEMA kutumiwa na News of Rwanda ni by the way tu wafaransa wanasema "de tour" but that is not the main route.
 
Msilolijua nikuwa kagame anaugomvi na Jk personal alishawahi kumshutumu jk waziwazi kuwa ni kiongozi asijelipenda taifa lake awezi acha raslimali zote Tanzania alafu kila kukicha kiguu na njia anawaomba wazungu misaada ya net na kondomu ndio chanzo cha ugomvi
 
Mossad nipenda analysis yako. Sasa kama tatizo ni mataifa makubwa ndio yanayo tufitini basi solution ni nchi za Afrika kuungana kuwa kitu kimoja. Nadhani viongozi madhubuti Rwanda,Uganda na Kenya wameliona hili. Tanzania na Burundi nahisi tumezoea kupigwa fimbo na wakubwa.
 
Ishu sio kudistabilize Rwanda ishu ni Kagame. TZ had opted indirect way of dealing with the issue by first dealing with insurgents (M23). Na kwamba the mission should be under the name of UN mandate. This was to concel enemity identity to Rwanda and being looked like a traitor to fellows EAC states. Lakin Kagame sio outsider kama mm na ww. he knows everythng ndio maana ukaona ile kauli ilimchukiza sana cz anaona unafiki umepitiliza mipaka. Lakin source wala sio ile kauli ya Mh. Rais source ni mbali kbsa, the deminish of France interests in Rwanda. Ukiniuliza kwa interests gani... That is upon Èlysée Palace to justify. Why dd they back Habyrimana and provide hm wth Presidential flight and paid for the running expenses..?? The fact kwamba Kagame killed two of their Officials (pilots) as the court ruled in France is justified reason for France to have him out of their sight for commiting a crime against their State. The fact that Kagame wept France monopoly in the region by Killing Habyarimana and installed USA monopoly is the justified reason why would france want him out of sight. Everythng is all about "INTERESTS" Do think Rick Machar is fighting for himself..?? where dd he got the money and power to run rebelion and where where these people have bn hiding and trained?? If the issues is helping People as he claimed why would he want to shell bombs and fire bullets which instantly end their lives...?? There are interests behind.. The Free Syrian Army claimed assad is a terrorist, oppressor, and un democratic... Mimi simtetei Assad hata kidgo but why do they employ Al qaeda to fight along them..?? if assad is a terrorist are Al qaeda law enforcers..?? who doesnt know the work of Al qaeda..?? If Assad is oppressor why dd they also use Chemical weapons (as per UN report) against innocent people they claimed they want to serve from oppression and lastly they call international press to shoot dozens of deadly bodies they claimed to have bn killed by Assad.. hawa watu ndo wakuwapa madaraka?? wanatoa uhai wa watu kwa tamaa ya madaraka..!! uzuri wake walionyuma yao hawajajificha wamejiweka wazi (France & USA). The same story is in Libya, Iraq and Currently Egypt. Ndio maana nikamwambia jamaa bora ukazane kutafuta ugali wako au kusoma. Lots of thngs happen in the back room that u don av an idea the only thng u see is a near aftermath saaa ukiwa too.emotional, angry wkat hujui where does the flow started unakua km kikaragosi tu.. mambo ya CHADEMA kutumiwa na News of Rwanda ni by the way tu wafaransa wanasema "de tour" but that is not the main route.

mzee usije kawa mossad wa kwelikweli maana wajua politics za dunia balaa. where is jmushi?
 
Mossad nipenda analysis yako. Sasa kama tatizo ni mataifa makubwa ndio yanayo tufitini basi solution ni nchi za Afrika kuungana kuwa kitu kimoja. Nadhani viongozi madhubuti Rwanda,Uganda na Kenya wameliona hili. Tanzania na Burundi nahisi tumezoea kupigwa fimbo na wakubwa.

Unachosema ww ndicho alichowaambia Ghaddafi viongozi wa Africa 2002 kwa kuhamasisha kuanzishwa kwa AU then 2005 kwenye AU summit akashauri kuwe na greater level of intergration, Single AU passport, Common defence system and Single currency akisema "The United States of Africa is The Hope". Kwa kuonesha mfano 2005 akaiingiza Libya COMESA wakati regionalwise Libya iko far from COMESA ila alichotaka kuonesha ni kua Africa ni moja na sio ya ki kanda. At the end this man died the death of "shame". kwenye kauli yake ya mwisho mda mchache kabla ya kukamatwa alisema "Let the free people of the world know that we could have bargained over and sold out our cause in teturn for personal secure and stable life.. we receive many offers to this effect but we choose to be at the vanguard of the confontation as a badge of duty and honour" ingawa Ghaddafi alikua kama sio timamu sm tym ila hapa nimechukua kile alichosema hapa alikua anakiona kifo mbele yake utimamu wote ulikua na yeye. Atlast from the deceased quote tunarudi pale pale kwenye "INTERESTS" za wakubwa.
Unachosema kuhusu viongozi wa Africa kuungana is the most difficult thng this world has ever know. Ni sawa sawa na kuwaambia waafrica wote watumie uzazi wa mpango u cant have all on ur side. Mobutu Seseko alikua akitoka tu kwenye kikao cha OAU anapanda ndege anatua Belgium kutoa feedback ya yaliyojiri hii ni kwa sababu wakubwa hawa wanatuwekea viongozi in a sense ya hawa watu kulipa fadhila na kulinda maslahi ya nchi zao, ndio maana nikakupa mfano wa rick machar, free syrian army, libya, iraq na kule egypt bado tutajua tu in future.
Pale viongozi walipoleta utaifa na uzalendo against these western giants bas kipo walichokipata anza na patrice Lumumba, wako wapi akina Thambo na Matchel, hata Mzungu aliyeiunga mkono Africa Olof palme had a consipiracy theory to tell, yuko wap Ghaddafi, Hugo Chavez, Che Guevara, na wengneo. Unayo yaona sasa ya Kenya Uganda na Rwanda kua kitu kimoja sio katika dhana ya Uafrika bali ni katika dhana ya kulinda maslah yao dhidi ya ICC yasije kuwapata yaliyowakuta akina Charles Tylor na Laurent Gbagbo. Na bado mtu km Kagame hawez kufight the power of French revenge nje ya USA cover.
 
Ishu sio kudistabilize Rwanda ishu ni Kagame. TZ had opted indirect way of dealing with the issue by first dealing with insurgents (M23). Na kwamba the mission should be under the name of UN mandate. This was to concel enemity identity to Rwanda and being looked like a traitor to fellows EAC states. Lakin Kagame sio outsider kama mm na ww. he knows everythng ndio maana ukaona ile kauli ilimchukiza sana cz anaona unafiki umepitiliza mipaka. Lakin source wala sio ile kauli ya Mh. Rais source ni mbali kbsa, the deminish of France interests in Rwanda. Ukiniuliza kwa interests gani... That is upon Èlysée Palace to justify. Why dd they back Habyrimana and provide hm wth Presidential flight and paid for the running expenses..?? The fact kwamba Kagame killed two of their Officials (pilots) as the court ruled in France is justified reason for France to have him out of their sight for commiting a crime against their State. The fact that Kagame wept France monopoly in the region by Killing Habyarimana and installed USA monopoly is the justified reason why would france want him out of sight. Everythng is all about "INTERESTS" Do think Rick Machar is fighting for himself..?? where dd he got the money and power to run rebelion and where where these people have bn hiding and trained?? If the issues is helping People as he claimed why would he want to shell bombs and fire bullets which instantly end their lives...?? There are interests behind.. The Free Syrian Army claimed assad is a terrorist, oppressor, and un democratic... Mimi simtetei Assad hata kidgo but why do they employ Al qaeda to fight along them..?? if assad is a terrorist are Al qaeda law enforcers..?? who doesnt know the work of Al qaeda..?? If Assad is oppressor why dd they also use Chemical weapons (as per UN report) against innocent people they claimed they want to serve from oppression and lastly they call international press to shoot dozens of deadly bodies they claimed to have bn killed by Assad.. hawa watu ndo wakuwapa madaraka?? wanatoa uhai wa watu kwa tamaa ya madaraka..!! uzuri wake walionyuma yao hawajajificha wamejiweka wazi (France & USA). The same story is in Libya, Iraq and Currently Egypt. Ndio maana nikamwambia jamaa bora ukazane kutafuta ugali wako au kusoma. Lots of thngs happen in the back room that u don av an idea the only thng u see is a near aftermath saaa ukiwa too.emotional, angry wkat hujui where does the flow started unakua km kikaragosi tu.. mambo ya CHADEMA kutumiwa na News of Rwanda ni by the way tu wafaransa wanasema "de tour" but that is not the main route.

Good analysis, for this JK kutumika indirectly knowingly or unknowingly will be a disaster for the region, I hope haitafikia huko,and seems hii game COW wanaijua vizuri sana ndio maana wameamua to do their own nilikuwa najiuliza why these faster security pact/settings within CoW,I think any military confrontation with Rwanda for now will be fighting Uganda too..hope kila mtu ameona hilo.
 
na kiukweli katika ishu zote za Rwanda vs Tanzania Chadema huwa wanaunga mkono Rwanda! Sijui tayari washakuwa infiltrated?
 
Bila shaka unataka kuchafua chama chetu tulivu.. Kama umekosa cha kuandika bora ukae kimya kima ww..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ukweli lazima usemwe, sio kitu tunashabikia tu alimradi kinachafua CCM, vitu vingine vinahusu utaifa. Hakuna sababu yoyote ya viongozi wetu kudai uchunguzi, wa kitu gani? Rwanda wana ubalozi wao hapa, kwa nini wasilalamike rasmi? Hata kwenye ile ishu ya malori ilikuwa hivyo hivyo, chama kilikuwa kinashabikia Rwanda tu bila hata kujadili upande wa Taifa letu. Ninaanza kuwa na wasiwasi na viongozi wa Chadema kuwa labda wanapewa support na RPF!
 
Good observation indeed!
Kuna documentary inaitwa The Seven Sisters nimewahi kuifuatilia pia Al Jazeera. After watchin hii doc utagundua kua 70% ya mambo yanayoendelea inside Global politics hayajulikan to ordinary citizens. Ni rackets za watu wenye huge influence ya fedha na vyeo. Kagame aliingia Ikulu kwa influence ya USA nia ilikua ni kuzuia French influence isisambae Middle and Eastern Africa. The late Habyarimana was pro French and RPF were assisted by CIA Operatives mpka Kagame akapewa Scholarship ya kwenda kusoma Fortleavenworh Military College, Kansas 1990. (Ukumbuke alienda kama Kiongozi msaidizi wa Waasi na sio km maofisa wngne wanopelekwa na serikali zao) Kiongozi mkuu wa RPF kipindi hicho alikua Fred Rwigyema.
Rwanda vs. Tanzania:
Kinachotokea kati yetu sasa ni upepo tu na mluzi wake unapigwa magharibi ya Ulaya. France wako willing kusupport kwa hali yoyote mtu atakaye kua tayar kumtoa Kagame madarakani lakin kikwazo Kinakuja kuwa Kagame nae kwa kufaham maadui wakubwa anaoshindana nao akajiwekeza kwa mkubwa wao ambaye ndiye yule aliyemweka madarakani the super power USA. The only option France had was to infiltrate and defect Kagame's own senior officers ambao wangeanzisha vugu vugu la mapinduzi wakiwa abroad. hapa ndio unamzungumzia col. Kayumba Nyamwasa, Patrick Karegeya (late) na wengineo. Kwa hili France alifanikiwa tatizo likawa linabaki kwenye nguvu ya USA kumlinda kagame. Kwa kuweza kuwatumia M23 Kagame amechukua utajiri mkubwa wa madini Congo na kucheza rackets na makampuni makubwa ya vito vya dhamani nchini Marekani (sina uhakika na facts hizi ni hear say tu) ingawa kuhusu wizi wa madini Congo hilo am sure. USA is aware of what Kagame is doing lakini kasoro ikajitokeza tena na this tym ni influence ya wachina. Mwaka 2011 Naibu Waziri wa Biashara wa China Gao Hucheng alitembelea Kigali na nchi yake ili plege 18m USD loan, 9mil grant, in addition on top of all 9mil free loan (Hii ni hela kubwa kwa uchumi wa Rwanda). USA-Rwanda ties taratibu ikaanza kuyumba baada ya massive Chinese investments in Rwanda. Sasa USA akaruhusu UN ifanye kazi yake as a watchdog (all those tym USA Knew whats going on inside kigali). UN ikatoa tamko kuhusu Rwanda kuwasaidia waasi nchini Congo na kwamba kwa kufanya hivyo wanadestabilize amani ya maziwa makuu. July 21 2012 USA cut Military Aid to Rwanda in a stament quoted "we will not obligate $200,000 in fiscal year 2012 foreign Military financing fund that were inteded to support a Rwandan Academy.for non comissioned Officers"~ Hillary Fuller Renner, State Dept. Spokewoman.
Hapa ndipo France alipopata nguvu ya kuendelea na mpango wake dhidi ya Kagame na Serikali yake ambapo sasa anachotafuta ni taifa litakalo kua willing kusupport force removal from powers kwa Kagame. Kagame kwa kutambua tena influence ya USA inamkimbia prior hata tamko kamili la USA akaanzisha harakati za Rwanda kujiunga na EAC na mpka America inamtupa tayar Rwanda ikawa taifa mwanachama wa EAC. His close ties with Museven helped him convincing Kenyatta kwa pamoja Kenya, Uganda na Rwanda wawe na Ushirikiano wa kiulinzi ambao ulianza rasmi tarehe 1 jan. 2014 (too quick). By doing this Kagame had another plan B for backup against French hunting shadow.
After utilising all options considering Congo is weak (economywise and Militarly) so cant fight Rwanda, Uganda and Kenya are allies to Rwanda, Burundi is a tiny nation against Rwanda (economywise and Military) the only remaing and yet better option to counter Kagame's influence in the region was The United Repunlic of Tanzania.
Tatizo linakuja kwenye foreign policy na hali ya kiuchumi ya sasa ya Tanzania. She's not willing to go to war as she still fights for her chances for being regional power by 2020, yet TZ was ready to end Kagame's influence in Congo by providing Higly trained Military experts and bunch of troops with Elite comandoo Unit in support.
This was in agreement that all wil be under the cover of a UN Mission plus South Africa and the FARDC to form the inclusion of Assault frontline. In less than a week Kagame's M23 were defeated.
After all these Kagame tries whatever in his power to deminish the then influence of TZ as a regional peace maker also create faults in the EAC where TZ is a member and further tries to convice his counterparts (kagame and Kenyata) have their isolated relationship from TZ who looks as a threat for alligning with Western influences. The coalition of the willin was officialy formed and it was possible bcz Kagame has part his ways with his former western superiors, Museven has the same problem for being accused of supporting rebel stronghold and Kenyatta has the ICC trial which he also claimed to be the western propaganda so whoever who's likely to form close alliance with these westeners against his comrades will obvious be looked with sharp eye as a traitor and this is what is happening nw to a certain leader (????). Yet some thngs cant be revealed but it entails in detail that what u thnk has the length of ur finger ring is indeed different and it can even reach a mile ahead.
 
Rwanda mabwege cc wajanja kagame -----,!cc kama cc tz ndio we ye east Africa uliza time tawanyika all over the east Afric
a name kati kwisha
 
Back
Top Bottom