Chadema kurudisha kiti cha cha kata ya mtibwa -morogoro

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Jumamosi iliyopita nilikuwa miongoni mwa makamanda kadhaa wa kadhaa kutoka Morogoro Mjini waliokwenda kuchagiza ushindi wa Mgombea wa CDM ndugu Lukas Mwakambaya ambaye ki uhakika ni kijana jasiri na atakayesaidia maendeleo ya kata ya Mtibwa.

Katika ufunguzi huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Madiwani mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Diwani wa Gairo kamanda Mwendi akiongozana na Mwenyekiti wa Morogoro mjini mzee Zuberi Kiloko,ulihudhuriwa pia na Mgombea Ubunge wa CDM mwaka 2005 na 2010 Mhandisi Matokeo Manyeta ulikuwa wa aina yake uliohudhuriwa na watu wengi kudhihirisha Chadema kweli ni Nguvu ya Umma.

Sikuweza kupiga picha, ila next time ntahakikisha nawaletea na picha maana Mathomaso wengi humu JF haswa wale magamba!

PeopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeS Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
pamoja kamanda shembago, naskia kamanda injinia matokeo alichakachuliwa 2010?? vipi mdau ni kweli cdm ilkuwa na nguvu zaidi mwaka 2010?? lakini tuzidi kutoa elimu tu ndugu yangu tratibuuu mambo yatabadilika hapo mtibwa na morogoro yote.... ukweli ccm wananawakaati mgumu sana kwa wananchi hasa kwa sababu zile ahadi zao zimekuwa hazitekelezeki
 
pamoja kamanda huo ni upepo wa kisulisuli Tsunami lenyewe ni hapo 2015, !!!
 
pamoja kamanda huo ni upepo wa kisulisuli Tsunami lenyewe ni hapo 2015, !!!

Hapo kwenye
red; kwa wale waliojaaliwa kitabu, huo ndio upepo "uliomnyakua" Nabii Elia ambaye hakuonja umauti kwenda kupumzika pamoja na Bwana. Upepo wa ajabu sana huo.
 

Hapo kwenye
red; kwa wale waliojaaliwa kitabu, huo ndio upepo "uliomnyakua" Nabii Elia ambaye hakuonja umauti kwenda kupumzika pamoja na Bwana. Upepo wa ajabu sana huo.
upo sawa kabisa ndugu yangu pia mungu alinena na Ayubu katika upepo wa kisulisuli ni upepo wa mungu ambao binadamu hawaezi kuuzuia,.. ndio unavuma sasa hivi mungu ameshuka kuwaokoa watanzania na dhuluma na uovu wa CCM!
 
Back
Top Bottom