kanyasu
JF-Expert Member
- Feb 9, 2009
- 234
- 18
Leo nilikuwa sombetini wazee wa arusha sasa wamegundua kuwa chadema ni chama cha udikteta,vijana na baadhi ya kina mama ambao bado wanawaunga mkono madiwani waliotimuliwa wameapa kuwafata katika chama chochote na kuwapa udiwani kwa kuwa ni wazi kuwa wameonewa.katika hali ya uoga mkubwa kamati kuu ya chadema imeona iende arusha ikatulize upepo kwa kufanya mikutano mpaka kwenye kata lakini taarifa za sahihi amabazo sisi tulio hapa arusha zinaonesha haitasaidia kitu.