Chadema kesho itaendelea kuwasaidia wahanga

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Chama cha CHADEMA kanda maalum ya Dar es salaam siku ya kesho wataendelea kuwa changia wahanga wa mabomu wa kule gongo la mboto, viongozi hawo wataambatana na wabunge wao pamoja na umoja wa wanafunzi vyuo vikuu (chaso) kwenda kutoa damu katika hospitali ya muhimbili saa nne asubuhi, kwa yeyote yule atakaye taka kushiriki nasi anakaribishwa,

tuwaokoe wenzetu kwa janga hili kubwa la kitaifa
 
Lazima ujipange pia media za tz ni corrupt; CDM wamefanya mambo makubwa lakini hata tarifa mpaka uje uzione ktk magazeti machache tu; zingine zinacover ugoro
 
Tunawashukuru watanzania wote waliyoshiriki nasi leo katka kukamilisha zoezi la kutoa damu pale muhimbili mungu awabariki muendelee kuwa na imani hiyo hiyo ya kushirikiana.... Amen
 
Back
Top Bottom