CHADEMA imevuna mawaziri zaidi ya 8 kutoka CCM na Katibu Mkuu mmoja hadi sasa; Je, orodha itaongezeka au itapungua?

Alijulikana na ndio maana alitengwa na chama mara baada ya awamu ya tano kushika dola. Alisubiriwa avue gamba lakini kaona kuliko kuvua gamba bora aende nalo huko aendako. Safari njema
Vipi kuhusu akina chenge ns timu yake vijana shupavu na wapigania chama.
 
kinacho niumiza kichwa mim..ni kwa nin hawa watu wanatufanya sisi wananchi wajinga yaan chadema sisi ndio tunapingana na hawa viongozi na kuwatuhumu sana...lakini wakiona kule ujanja wao hauna faida wanahamia huku ili kutupumbaza kua wao ni wasafi na sis tunakubali bila kuwapa option kwanza.....yaan muda sio mrefu huyu mtu utaskia kapewa kua mjumbe wa kamati kuu chadema.
Leo hii hata magufuli akihamia chadema hutaskia akiitwa dikteta uchwara...nawaza sana hapa...hivi siku watu wakituchoka kwa kuwanafkia hao waliomo ccm itakuwaje.

Tatizo sisi waTanzania hatuna fikra huru.....fikra zetu zimefungwa na chama au vyama......kwa maana kila linaloamliwa na chama unalazimika kulifuata hata halipatani na utashi wako........

Na hili lipo kwenye vyama vyote sio CCM wala CHADEMA.......

Kama ambavyo sasa hivi ni dhambi kuikosoa CCM au kuonyesha kuwa haukubaliani na kinachoendelea huko CCM ndivyo ambavyo ni ngumu kuikosoa CDM......

Naamini wapo wana CDM wasiokubaliana na Haya lakini wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kuitwa wasaliti kama ilivyo kuwa wakati wa kumpokea LOWASA.......

Kinachosubiriwa ni kuona viongozi watasema nini na wao wafuate..........


Hadi kufikia hapo utakuwa umesha jua kuwa wanasiasa wanatujengea taifa la aina gani......!!
 
hao wote wanaohamia chadema wanatuhuma za ufisadi inawezekanaje CDM kuwapokea watu ambao wanatuhuma za ufisadi

Mbona nyie mliwatunza hao mafisad miaka yote mkuu!? Au wakiondoka gafla ndo mnajua n mafisad!?
Mmeishi nao vzr kuondoka tu imekua nongwaaaaa
 
Mbona nyie mliwatunza hao mafisad miaka yote mkuu!? Au wakiondoka gafla ndo mnajua n mafisad!?
Mmeishi nao vzr kuondoka tu imekua nongwaaaaa
mkuu kwan ni nan huwa anaichua na kusema mafisadi wapo ccm, cdm ndio huwa inawataja na kwa majina kabisa, huyo lowasa mwenyewe wabunge wa cdm baadhi yao walidai alitakuwa kuwepo jera kwa tuhuma za ufisadi, sasa ilikuwaje akatangazwa ni mgombea wa URAIS cdm wakati mlikuwa mkisema ni fisadi?
 
Naamin hata siku M agufuri akihamia CDM ule ufisadi wake wote wa Ujenzi na Samaki pia Shirika la Nyumba ndo ataitwa Fisadi sipati picha kama Spika angekuwa mpinzani sijui mngemwitaje hasa Ile st or ya kumchapa viboko Mtu mzima Mwenzake
 
Makupe hufuata makupe wenzao. Let me share with you the etymological meaning of politics. It is a conjugation of two word, "poly" meaning many and "tics" meaning 'blood sucking bugs'. Together "Poly-tics". Mwanasiasa akifanyiwa Magufulification ana graduate na kujoin 'politics' anachaana na polytics (yaani anaachana na wanyonya damu).

Kumbuka injili ya mabadiriko iliyopokelewa vema na CCM. Wanaoshindwa kubadirika ndo hao akina Nyaa...na wengineo. Wakampotosha mzee Lowasa naye bila kujua akajikuta mtegoni. Natamani sana Lowasa arudi CCM maana huko aliko sio. Hawa wengine ni kwao kabisa. Akina Lau, Nyaa, Kiraza Mkuu na Zito Kabwe (huyu naye itapendeza akirudi sana alikozaliwa)
 
Hivi CHADEMA iko nje ya Tanzania kwamba inahitajika Interpol kuwakamata,

Ukweli ni kwamba mtu yeyote anayetoka CCM kujiunga CHADEMA huyo mtu lazima anajiamini sana, mafisadi na wala rushwa wamejificha CCM.
Nope...CCM chaka dogo saivi. Wamepata a thick chaka lakujifichia linaitwa CHADEMA
umeona ee.... mafisadi wakifukuzwa ccm pakukimbilia ndio huko cdm

Safi sana..... maneno ya ROMA yanaeleweka sasa..... Shangwe za huku ndio za kule...... wale wale wa kule wamehamia huku kuchukua nafasi zao na kutakaswa na watu waliokuwa wanawakebehi.... People!!!
 
Itafika mahali tushindwe kutofautisha kati ya CHADEMA na CCM maana wale wote waliokuwa na makandokando ndio hao wanahamia huko na wanasaka tonge kwa njia tofauti, je na wakipata vyeo tabia zao za ki ccm zitakuwa zimebadilika?

Kwa dhana ya upinzani wa kweli ingekua poa sana tungekua na chama ambacho kimeanzishwa na watu wanaofikiri tofauti nje ya haya mavyama tuliyonayo na wakajipambanua kiitikadi tofauti kabisa na sasa. Ukitizama saana ni ngum kjua tofauti ya hivi vyama
Huwezi kupata chama cha namna hiyo hata huko Ulaya.Kazi ya chama cha siasa ni kutafuta support /watu maana siasa ni watu.
Kama unaamini CCM ni safi na Nyalandu ni mchafu kwa nn alikuwa hajawahi kutuhumiwa na CCM au kishtakiwa kwa lolote.
 
Back
Top Bottom