CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
804
1,646
Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo...

Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle - PLC au sema maisha ya taasisi - kuanzishwa kwake, kukua kwake na kuanguka kwake...

Kwamba, maisha ya taasisi yoyote huwa lazima yapitie hatua nne zifuatazo;

1. Introduction - Kujitambulisha..
✓ Hatua hii ilishapitwa miaka ya 1989 - 1994. Chama kikajitambukisha kwa wananchi, kikapokelewa na kukubalika vilivyo..

2. Growth - Ukuaji..
✓ CHADEMA kilipita steji hii ktk kipindi cha miaka 1995 - 2015 na kikakua kwa kasi kubwa sana..
✓ Kama ni kufubazwa au kuuwawa kwa chama hiki, basi ilikuwa ni ktk kipindi hiki..
✓ Mwendazake John P. Magufuli mara baada ya kuingia madarakani 2015, alijiapiza kufuta (kuua) vyama vya siasa vingine vyote lakini akikilenga CHADEMA zaidi ili kwa akili na ufahamu wake mdogo eti ibaki CCM pekee..
✓ Alishindwa vibaya sana na badala yake ikawa ni kifo chake na mwisho wake mwenyewe mwaka 2021..
✓ Uthibitisho wa kukua kwa CHADEMA hata kufikia ukomavu ni udhihirisho wa kupanda juu tu hatua kwa hatua ktk kila uchaguzi kuanzia ule wa 1995 hadi 2015. Hebu angalia takwimu hapa chini;

UCHAGUZI MKUU 1995;
• Madiwani: 13
• Halmshauri: 0
• Wabunge 4

UCHAGUZI MKUU 2000
• Madiwani: 45
• H/M - 2
• Wabunge 5

UCHAGUZI MKUU 2005;
• Madiwani: 102
• Halmshauri: 2
• Wabunge: 11

UCHAGUZI MKUU 2010;
• Madiwani: 589
• Halmshauri: 7
• Wabunge: 49

UCHAGUZI MKUU 2015:
• Madiwani: 1,108
• Halmashauri: 25
• Wabunge: 79

UCHAGUZI MKUU 2020:
• Hakuna kumbukumbu kwa sababu hakukuwa na uchaguzi mwaka huo bali ule ulikuwa ni uchafuzi mkubwa.

3. Maturity - Ukomavu
✓ Kuanzia 2015 chama kinatembea kwenye ukomavu

4. Decline - Kuporomoka/kuanguka/kufa..
✓ Ni steji itakayoanza kuwa experienced miaka 200 au 300 ijayo huko mbeleni..

Kwa upande wa pili, yaani CCM mpinzani mkuu wa CHADEMA, wako steji ya nne sasa - KIFO...

Hawa ndiyo waliokwisha kufa. Kifo cha CCM kinasubiri kuthibitishwa na daktari tu na kisha wapokee hati yao ya kifo ili wakazike maiti yao Butiama - Mara na vipande vingine huko Mlandege - Zanzibar...

HITIMISHO:
Ndo kusema kuwa, wapigao propaganda kuwa CHADEMA kwa sasa imekufa wanajidanganya..

Maiti (CCM) haiwezi kuua kilicho hai (CHADEMA). Waliokufa huwa hawana uwezo tena wa kutoka huko waliko kuja kuua kilicho hai..

Uthibitisho kuwa CHADEMA ni hai kwelikweli, ni uimara wake ulivyo sasa hata pale Mwendazake John P. Magufuli alipofikiri kuwa, kwa kuiba uchaguzi wa 2020 ili CHADEMA ikose uwakilishi ktk ngazi zote mitaa/vijiji, kata, ubunge na Urais na kisha wakose ruzuku, basi ndiyo ungekuwa mwisho wa chama hiki...

Huyu na wenzake wote huko CCM walioandaa na kutekeleza project hiyo, walikuwa ni wajinga na wapumbavu kwelikweli na ndiyo maana akafa yule kiongozi wa genge la kihalifu na waliobaki, bado wanahaha hata sasa na propaganda zao...

It's now too late for them...
 
Aliyetumia mabilioni yetu kutaka kuiua Chadema kafa kibudu kudadadeq
 
Naunga mkono hoja, kinachotakiwa ndani ya CDM ni marekebisho ya mambo kadhaa kwani tayari CDM iko mioyoni mwetu.
 
Back
Top Bottom