CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

Blaza, afadhali ya Chadema inayopokea mil 200 na matumizi yake yanaonekana.
 
Wakichukua nchi Tanzania itakuwa kama us. Barabara safi, maji, umeme usiokatika, kila mtanzania kuwa na haki sawa bila kujali kuwa huyu/yule anazo, elimu bure kwa wote na mengine mengi ambayo haijawai kufanywa na hii serikali ya maccm chama cha Mafisadi. Kwani wanafisadi kila kitu, wanyama, madini, viwanja hata kodi tunayolipa yote wanabeba.
 
ccm hamna uhalali wa kuipangia chadema mtindo wake wa kiungozi na wa kimkakati,chadema inaonyesha uhalisia kwanini kinaitwa chama kikuu cha upinzani ,na haya ndio matumizi bora ya ruzuku,kuimarisha chama,uchaguzi ujao tunataka chopa 50 kuwa hewani,kila kanda chopa tatu.
 
Utafiti uliofanywa kwa muda mfupi; imeonyesha wananchi wanahudhulia kushangaa helikopita za viongozi badala ya lengo mahususi

hii imedhirika wakati mh slaa alipotumia gari kwenda kigoma,tabora na singida . Mahudhulio ya mikutano yalikuwa hafifu sana.
!!
Niwakati wa kupeleka ujumbe na kuwajenga wananchi na sio kupeleka helikopita ata mimi ni mshamba sijawahi ona helikopita.

Niwakati wa chama kukata gharama ; bilioni moja za kukodi helikopta kwa wakenya na kuuingizia uchumi wa kenya shilingi bilioni moja kwa siku 14; cdm viongozi ni janga ; ingekuwa bora wakakodi ndege ndogo zinazomilikiwa na watanzania na sehemu nyingine kutumia magari.
Wananchi na wanachama tuchukue hatua dhidi ya udhalimu wa viongozi wakati arumeru hakuna maji, karatu, musoma hakuna maji , dawa
bilioni moja ni bajeti ya wilaya nzima .

Unaikumbuka OPERESHENI SANGARA? Mlisema hayahaya matokeo yake mliyaona!!! Sasa zile zilikuwa mvua za VULI masika ndo inakuja 2015!!! :dance:
 
Ndio ushangae sasa operesheni hizo zinapangwa na kuratibiwa wapi! Office za chama zinasaidia nini kwa mtanzania anaeumia kwa kulipa umeme 370 per unity?, au ni zahanati za akina mama wajawazito wanaojifungulia chini na wengine majumbani mwao? Au ni madarasa ya watoto wa kitanzania wanaosomea chini ya miti huko vijijini? Au ni office za kuratibu uuzwaji wa madini na mali hasili ambazo hazimnufaishi mzawa mwenye maisha duni? , nina kushangaa sana wew mbulula unashupalia office za chama badala ya kuongelea matatizo kama hayo, izo za ccm zinakusaidia nini wew na familia yako? Kuna siku umeugua ukaenda office za chama? Think big bwana mkubwa.
 
Utafiti uliofanywa kwa muda mfupi; imeonyesha wananchi wanahudhulia kushangaa helikopita za viongozi badala ya lengo mahususi

hii imedhirika wakati mh slaa alipotumia gari kwenda kigoma,tabora na singida . Mahudhulio ya mikutano yalikuwa hafifu sana.

Niwakati wa kupeleka ujumbe na kuwajenga wananchi na sio kupeleka helikopita ata mimi ni mshamba sijawahi ona helikopita.

Niwakati wa chama kukata gharama ; bilioni moja za kukodi helikopta kwa wakenya na kuuingizia uchumi wa kenya shilingi bilioni moja kwa siku 14; cdm viongozi ni janga ; ingekuwa bora wakakodi ndege ndogo zinazomilikiwa na watanzania na sehemu nyingine kutumia magari.
Wananchi na wanachama tuchukue hatua dhidi ya udhalimu wa viongozi wakati arumeru hakuna maji, karatu, musoma hakuna maji , dawa
bilioni moja ni bajeti ya wilaya nzima .

kumbea afadhali wananchi wameona hizo helkopta kumbe kwa utawala wa serikali ya ccm miaka 51 kuna wananchi hawajawahi ona helkopta, baaa ng'oa ccm
 
Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

Ok!kwaiyo tuendelee kutumainia kiboko-ya-Tembo sio?
 
pesa za vyama ni kutokana na ruzuku kwa kiasi kikubwa

pesa za serikali inaniuma saaaaana najua kwa sababu ni ushuru niulipao mimi mwenye.

Kama ni vyanzo halali Ccm watumie pesa watakavyo ila kama wanachota hazina roho yaniuma saana.

hata ruzuku inatokana na ushuru unaolipa mkuu....ni kwa sababu hiyo sheria inatambua vyama vya siasa kama public institutes ambazo hulazimika kutayarisha hesabu zake na kisha kukabidhi kwa CAG kwa ukaguzi.

kimsingi matumizi siyo issue bali muhimu ni kuwa tujue vyama hivi vinapata wapi pesa za matumizi yao, na hiyo ndiyo sababu CAG anawajibika kuwakagua na kisha ripoti hizo kuenezwa kwa umma.

mkuu...unaweza kuona kama ndoto lakini nikuhakikishie kuwa pasi na udhibiti wa fedha katika siasa...iko siku nchi itauzwa hii(kwa maana hasa ya neno kuuzwa)...kuna watu wana mapesa dunia hii, kiserikali cha hovyo kama chetu kinaweza kununuliwa chote na watu wenye mapesa...ni muhimu kila senti inayotumiwa na vyama vya siasa ikajulikana chanzo... chake. Hii itasaidia kujua nani katoa kiasi gani kwa chama kipi na kwa maslahi gani...kuna watu hawatoi bure bure, wanawekeza kwa hivyo wanatarajia pay back...

Mwalimu aliliona hili siku nyingi....ikulu ni pahala patakatifu.
 
mchlmmnl2 Aibu hauoni unaleta post za kudanganya watanzania tumeshanyanyaswa masahiibu mengi leo unaleta stori zisizo na mashiko kwa taarifa yako na umma kwa ujumla;
=vipaza sauti na vijineno vingine ulivyovisema havihusiani na cdm makao makuu;bali ni wadau na wapenzi wa cdm katika maeneo mikutano inapofanyika
=redbrigates ni vijana wa cdm wanaojitolea kwa lengo lakukisaidia chama chao hawalipwi kwa taarifa yako
=Nilibahatika kuzunguka na viongozi waliopokuwa kwenye hii operesheni hatukutumia zaidi ya sh 40;000kwa siku kulala ni nyumba za wageni za bei nafuu sana
 
Mimi na hisi kwauwezo walio onyesha kurusha chop a tatu nahawana dola wanaeza kufufua A.T.C naviwanja vyandege vote vikafanya vizuri nawapongeza wamethutu na wameweza
 
Back
Top Bottom