CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

Hizo hoja wambie magamba wenzio! wambie waache kuongeza wilaya na mikoa na wizara,kuagiza ma-v8,rais aache kusafiri ovyo,wawakamate wezi na mafisadi wote na kuwafilisi!

Hakuna zaidi ya sanaa CDM mara zote wakula matapishi yao wenyewe,sasa anaeruka angani kila kukicha na anaetumia V8 ni yupi anaetumia gharama nyingi?
 
Leo kwenye msiba wa Mh. Bwanamdogo nilitamani kukutana na Mh. Mbowe nimuulize aliyemshauri vibaya kuhusu operation ya sasa ni nani! Lakini alivyokuja mkuu wa nchi ulinzi ukaongezwa akawa beneti na JK nikamkosa. Swali la pili ni kwa kiasi gani anamwamini Lisu na Msigwa? Na mwisho ni kama kweli cdm ina nia ya kushika dola au ni kupambana na ccm ila wanatuzuga wananchi?
 
Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

Akili za kimasikini,hizo 600m ni ndogo kwa ukombozi wa mikoa zaidi ya nane!
 
sijasoma hata content yako title inaonyesha hujui kitu !

Labda kwa faida yako tambua kuwa Chadema cha siasa lengo lake ni kushika dora, hivyo ni wajibu wake kufanya kila njia ambayo kinaona inatija kisiasa kufanikisha malengo yao

KAMA HUJUI SIASA ACHA TU !

Kwa taarifa yako, wote hao cdm na ccm lao mojaaaaa, we kaa upige kelele hapo ukitegemea cdm ikiingia madarakani itakuletea neema. Wote hao majizi tuuuuuuuuu, wewe pambana na maisha ujikwamue mwenyewe lakini usitarajie siasa ndio itakukomboa hususan katika nchi zetu hizi ambazo bado hazijakomaa kidemokrasia.

Labda, tena labda, ujiunge na Jahazi Asilia kidogo nahisi inakaunafuu
 
acha wivu mimi ninatamani helkopta ziwe angalau sita ili kuweza kuwafikiwa wa tanzania wengi zaidi wewe unapiga mahesabu ya helkopta tatu.
 
Wata beba watu kwa mabsi kuhudhuria mikutano yao,watachangiwa fedha na wuza unga,watasafirisha twiga kwenda arabuni,meli ya katibu wa chama itasafirisha pembe za ndovu
kurusha helkopta kutoka dar-arusha (takriban 450km) kunagharimu takriban 5m, hii ni pamoja na fuel, parking fees, mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (takriban 4,050km) kutagharimu zaidi ya 45m

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban tshs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban tshs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu tshs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya tshs 600m kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

Akili ni mali, kijana usikubali kutumika na wanasiasa
 
Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

KWELI AKILI ni MALI sasa ina Maana haujui ya kuwa hizo IKULU NCHINI sio MALI YA CCM ? Ni MALI ya SERIKALI ya TANGANYIKA kama ILE NDEGE na AIRPORT ? Umeona AKILI ni MALI sasa ni kwa VIPPI Unadhani IKULU inahusu vyama vya siasa kama CHADEMA?

Ukienda Marekani au Uingereza Vyama Vyao vya kisiasa havina Ofisi kila JIMBO yaani havina Maofisi kila KATA kama CCM ni matumizi Mabovu ya FEDHA

Unakumbuka KANU ya KENYA ilikuwa hivyo nenda sasa hivi KENYA KANU vile viofisi vyooote vimegundulika vilikuwa ni vya wizi toka serikali kuu ya KENYA... AKILI ni MALI EH ???
 
Na mkazifie siasa na wanasiasa wenu kwa kushinda kwenye vijiwe vya jf mkipiga soga kama wazee wa kiislam kwenye vijiwe vya kahawa mkisubiri wanasiasa na vyama vyao wawaletee neema ya maisha bora, imekula kwenu. Fanyeni kazi kwa bidii bandugu....
 
Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

Mpendwa,
Hakuna vita yoyote duniani ambayo haina gharama. Kwani kuna tija gani hasa kupigia kelele pesa ambazo angalau mwenyewe umetamka zinafanya nini? Kuna ngapi ambazo zinapotea kizembe chini ya usimamizi wa serikali na hakuna anayeulizwa? Kuna miradi hewa mingapi inapitishwa kila siku na hakuna anayejali? Kuna mikataba ya ovyo mingapi imeshasainiwa na inasababisha hasara kila mwaka na bado watu mko kimya?
Ni helikopta tu ndo zinawasumbua? Mimi nadhani kuna wengine mna lenu.
 
Kurusha Helkopta kutoka Dar-Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up.

2. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban 4,050KM) kutagharimu zaidi ya 45M

3. Usafiri wa ndani ya mikoa 9 kwa magari, chakula na malazi kwa viongozi kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa kila kiongozi mmoja kwa siku.

4. Maandalizi ya sehemu za mikutano, majukwaa, vipaza sauti, umeme na viburudisho kutagharimu takriban TShs laki 5 kwa sehemu moja kwa kila siku moja.

5. Gharama za usalama (Redbigades) mikutanoni, chakula na usafiri vinaweza kugharimu TShs 5,000 kwa kila kijana mmoja kwa siku kwa eneo moja la mkutano.

Inaweza kugharimu chama zaidi ya TShs 600M kwa mzunguko wa mikoa 9 kwa siku chache.

Ni nini vyanzo vya fedha kwa matumizi haya, ruzuku, wafadhili wa ndani/nje au mkopo?

Haya yanafanyika huku chama kikiwa na ofisi za kupanga, huku ofisi nyingine zikiwa zimefungwa kutokana na kushindwa kulipa kodi, Baadhi ya ofisi za mikoa zikitumia magari binafsi ya wanachama waliojitolea huku viongozi wakuu wakisafiri na familia zao kubwa na watumishi wa ndani kwa gharama za chama.

AKILI NI MALI, KIJANA USIKUBALI KUTUMIKA NA WANASIASA

Mbona haujapiga na gharama ya kugawa mashangingi kwa mawazi,naibu waziri,makatibu,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wilaya na kuwawekea mafuta kila siku nchi mzima,vp hii gharama naona umesahau kuiweka hapa!
 
hizo hela za kurusha chopa si mngewapelekea viongozi wa mikoan na wilayani wajenge chama huko kwenye maeneo yao? yani kazi zote za chama mnataka kufanya wenyewe makao makuu?chadema mbona mnawadharau sana viongozi wenu wa mikoani na wilayani?
 
Hiyo gharama ya magari ya serikali hata chadema na vyama vyote wanaitumia coz hata wao wanatumia magari ya serikari kama wabunge na viongozi wa upinzani.
Pili hayo matumizi serikari yoyote duniani lazima iyatumie kwasababu ya gharama za uendeshaji wa nchi.
Ongea mambo kisomi kijana.
Tofautisha gharama za kiserikari na gharama za kichama
 
Mbona haujapiga na gharama ya kugawa mashangingi kwa mawazi,naibu waziri,makatibu,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wilaya na kuwawekea mafuta kila siku nchi mzima,vp hii gharama naona umesahau kuiweka hapa!

Hiyo gharama ya magari ya serikali hata chadema na vyama vyote wanaitumia coz hata wao wanatumia magari ya serikari kama wabunge na viongozi wa upinzani.
Pili hayo matumizi serikari yoyote duniani lazima iyatumie kwasababu ya gharama za uendeshaji wa nchi.
Ongea mambo kisomi kijana.
Tofautisha gharama za kiserikari na gharama za kichama......
 
Back
Top Bottom