Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,037
- 2,774
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.
Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.
Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.
jengeni chama saa mbaya hizi!