Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hawa jamaa sio ndio walipewa 20,000/=?? halafu wajanja kwenye ripoti wakaandika 120,000/= hahahhaNdio madhara ya hawa wapaka wanja wenye akili za shake well before use, weka mbali na watoto.
masaburi kweli hawa ....... nina wasi wasi na elimu zao au jinsi walivyoajiriwa hapo ... wote hawa utakuta ni vimemo ndio vimewafikisha hapo lmao!!!!