CHADEMA badilisheni Mfumo wenu uendane na mgombea urais

Kojo Dowido

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
354
111
Niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais CHADEMA hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa CHADEMA.

Kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo CHADEMA wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.
 
niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais chadema hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa chadema.

kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo chadema wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.

Kuhusu hilo niliwahi kumuuliza mdau mmoja wa CDM akanijibu ile imeachwa makusudi ili kutowachanganya wananchi wakati wa kupiga kura. Jamaa wako smart!
 
acha ujanjaujanja wewe hakuna mfumo wa kumlazimisha kuvaa vazi rasmi la gwanda huo ndio ukweki. kama hiyo ni kweli kwa nini wasione mvi zake na lembeli zitawachanfanya wapiga kura.
 
niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais chadema hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa chadema.

kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo chadema wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.
Kwa hiyo wewe kuvaa gwanda ndio mfumo? Huoni kwamba Rais wetu yuko ki UKAWA zaidi kuliko chama kimoja? Ameepuka gwanda asije akawakwaza cuf, nccr na nld. Understand you gamba?
 
Kweli wewe hata KUSOMA mifumo haujui LOWASA yupo chini ya Mwamvuli wa UKAWA sasa UKAWA kuna mifumo ya vyama vinne. Jifunze kuwa SMART KICHWANI
 
niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais chadema hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa chadema.

kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo chadema wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.

Ww ni kilaza
 
acha ujanjaujanja wewe hakuna mfumo wa kumlazimisha kuvaa vazi rasmi la gwanda huo ndio ukweki. kama hiyo ni kweli kwa nini wasione mvi zake na lembeli zitawachanfanya wapiga kura.

Andika barua makao makuu ya chama kama unaona hilo ni la muhimu zaidi kuliko sera.
 
Limeibuka wimbi la watu wa ajabu ajabu tokea pale walipo sikia kwamba uki anzisha Topic ya kukandia vyama pindani na kuisifu CCM wana kutafuta na kukuzawadia minoti yakutosha.
 
niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais chadema hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa chadema.

kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo chadema wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.

Waulize ccm lini nyerere alivaa jezi zao??araf urudi apa tujadiliane
 
Limeibuka wimbi la watu wa ajabu ajabu tokea pale walipo sikia kwamba uki anzisha Topic ya kukandia vyama pindani na kuisifu CCM wana kutafuta na kukuzawadia minoti yakutosha.

Na huu ndo ukweli,,,,undecided voters ni wengi na wengine wengi tu si wakereketwa wanaweza kubadilika kwa hoja cha ajabu watu uzi zao za kitoto kabisa sijui wanasaidia vipi vyama vyao,,,,ajabu nyingine si ccm si wanamabadiliko,,,japo ccm wamezidi!!
 
kuhusu hilo niliwahi kumuuliza mdau mmoja wa cdm akanijibu ile imeachwa makusudi ili kutowachanganya wananchi wakati wa kupiga kura. Jamaa wako smart!

tangu lini wewe umekuwa mshauri wa chadema? Nani kakuajiri? Ccm wamechanginikiwa kweli

there is a saying in english don't deal with every little thing? Kwani hayo mavazi yatasababisha wewe umpe kura lowassa?
 
niwazi mfumo huu wa mafazi ya gwanda mgombea wa urais chadema hautaki. maana hatujamuona hata kwa kukosea kuufata huu mfumo wa uvaaji wa chadema.

kwa maana nyingine mfumo umeshindwa kumbadili mtu, sasa ni zamu ya mtu au mgombea kuabadili mfumo. hivyo chadema wasiwadanganye wananchi hawajawahi kuwa na mfumo na wala hawana mfumo wa kubadili lolote.

Ni raisi wa Tanzania au wa Chama?
 
Kwa hiyo wewe kuvaa gwanda ndio mfumo? Huoni kwamba Rais wetu yuko ki UKAWA zaidi kuliko chama kimoja? Ameepuka gwanda asije akawakwaza cuf, nccr na nld. Understand you gamba?

Kwahiyo kina mbowe wanaovaa gwanda waendelee kuwakwaza Wana ukawa toka cuf, nccr na nld?
 
Back
Top Bottom