Chadema anzisheni kitengo cha propaganda

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
kitengo cha propaganda ni muhimu kwa chadema ikizingatiwa ccm wanatumia sana kitengo chao. chadema itafute vijana wasomi wenye uwezo wa kujieleza ili wawafunike akina tambwe. pia kwa vile ruzuku ipo ajiri vijana wasomi kuwe na kitengo cha ku think. kazi yao iwe wana think, wanakuwa political analyst, wanatoa taarifa zenye utafiti na kuwafundisha wabunge wetu namna ya ku argue .
 
Kwani hii JF unavyofikiria wewe ni nini? au ulitakaa iitwe jamii ya propaganda ya chadema?
 
Back
Top Bottom