chadema acheni tabia za bongo fleva

aikaruwa1983

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,398
1,499
wana Jf nimetoka kwenye mkutano wa Chadema maeneo ya Tabata Liwiti....lengo hasa la mkutano ni Dr Slaa kuja kuushukuru umma kwa kumchagua ingawa ndio hivyo.......ila cha kushangaza ni pale Anko Mpendazoe alipouambia umma kwamba Dr hataweza kufika yuko hosp na mama(mchumba) wakisharekea kupata baby boy!!!! ushauri wangu ni kwamba wangesema toka mwanzo coz toka saa sita mchana taarifa za kuzaliwa huyo baby boy wanazo so inakuwaje watutangazie mwishoni mwa mkutano............ukweli nimekumbuka huku ushwailini kwetu hasa wakati wa sikukuu tunatangaziwa majina ya wasanii wakubwa watafika huku ila lengo ni kuvutia watu waje then tunaambulia kuimbiwa na upcoming artist.......cdm angalieni tusiwachoke kwa hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom