MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
Mahitaji
1. 1/2 kg cabbage
2. Corriender leaves.
3. Pilipili mbuzi au aina yeyote
4. Ndimu 3 au mapendekezo.
5 Maji 1/2 glass
6. kitunguu saum kijiko kimoja
Kata makabichi yako kama vile unafanya salad, kisha changanya viungo vyote hapo juu kwenye blender sipokuwa ndimu, zungurusha kwa muda wa dakika 4 mpaka iwe imesagika. Tia lemon juice mwisho iache ichanganyike kwenye bender kidogo tu.
Tayari kwa kuserve, better served with bajia kunde.