Cha Arusha

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kijiti cha Arusha Hiki!

Cha Arusha.jpg
 
Nakumbuka enzi zangu nikijiandaa kuingia uwanjani lazima nipige hii kitu harafu siku hiyo kiforward kijidai kina kiherehere cha kufunga na kivunja makalio...lol
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ndicho kinachofanya jamaa kuanguka anguka hovyo majukwaani...
 
...hahahahahaha...hii kama maskani kwa bibi pale Soweto...A town
>>>aisee bibi si utembeze kitu hichooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom