Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Usipate tabu mchizi wangu,nyonga kichwa na shingo uitazame picha juu chini au geuza skrini ya kompyuta yako juu chini na uationa picha Kama roho inavyopenda!picha nzuri sana ila ukiieweka upside down yaani lami ionekane kwa juu ingekuwa nzuri zaidi!
Usipate tabu mchizi wangu,nyonga kichwa na shingo uitazame picha juu chini au geuza skrini ya kompyuta yako juu chini na uationa picha Kama roho inavyopenda!
Asante sana mkuu.hapo ni mji wa manyoni, but ili kufika kwenye centre kabisa ya Tanganyika ni mbele kidogo kama unaelekea Dodoma, karibu na pale unaposhuka bonde la ufa, kuna alama pembeni upande wa kulia kuna chuma kiko mlimani mfano wa Nondo hapo ndipo centre penyewe. Ahsante kwa picha