Celtel wanaboa! 0901004444 ni nani hao?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Sipendi kwanini mnatuma jumbe zenu za matangazo kwenye simu yangu? This is nonsense of first class leo nimeishapokea SMS 4 zenye Jumbe za kukera. Nadhani wanakata hela pia, mambo ya aibu haya sitaki kujua chochote kutoka kwenu Celtel mimi natumia line yenu ya simu kuwasiliana na ninawalipa. Zingatieni vigezo na masharti kwa watumiaji wa mtandao wenu. Ona hii meseji nimepokea leo

PiGA 0901004444 usikilize quran tukufu, Dua, Hadith, Mawaidha au uongee na sheikh moja kwa moja kwa Tsh 30 TU Kwa dakika.

Sitaki hizi propaganda ninajua wapi ninaweza wapata masheikh. Nimeongea na customer care wa Airtel they are simply hopeless hawana msaada

Stop this Airtel




Woz
 
na mimi Airtel wananikera sana kuna li simu kao wanakupigia na kukusikilizisha matapolo yao.....
Inaudhi sana bana, wakati mwingine uko unafanya kitu cha muhimu simu inaita, ukipokea ....nyambafu zao
 
Wanakera sana hawa Jamaa! Sitaki nipigiwe wala matangazo Yao

Airtel grow up
 
na mimi Airtel wananikera sana kuna li simu kao wanakupigia na kukusikilizisha matapolo yao.....
Inaudhi sana bana, wakati mwingine uko unafanya kitu cha muhimu simu inaita, ukipokea ....nyambafu zao
hawa wabaya sana hawa!!
wanakusikilizisha matapolo!!!
tehe tehe tehee!!!!:eyebrows:
 
Back
Top Bottom