GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Nimeshangazwa sana na CDM a.k.a MAGWANDA kwa kupalilia mkaa wa moto, na ukiisha waka wao wanakimbia bila ya kuuzima. Wao ndio waliowashawishi wanafunzi wa UDOM kugoma baada ya Lema kuwajaza ujinga. Sasa wanafunzi hao chuo chao kimefungwa na wameambiwa waondoke chuoni. Ni hali yakusikitisha wamezagaa tu huku mitaani na wengine wa kike wakijiuza ili wakidhi mahitaji yao. Sasa wana Magwanda mnawasaidiaje sasa hawa , nyie si ndio mliwajaza ujinga? Au mmeisha timiza lengo lenu la kijitafutia umaarufu wa kisiasa wao hamuwahitaji tena ?. Watafuteni muwasaidie sasa kama uwezo huo mnao